Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,508
- 5,741
Ulinzi mkali wanawekewaga wale Wa kesi ya uchochezi tu,halafu unakuta ni mmoja tu lakini huo ulinzi kama wanalindwa watu alfu mojambona huwa kuna ulinzi mkali imekuaje watoroke kirahisi namna hiyo? Inamaana hao askari waliwaacha watoroke kwa makusudi