mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,973
Enzi za JK wilaya ya Tarime walikuwa na vijitabia vya ukatili katili wakaanzishiwa kanda maalumu wakatulizwa kibabe.
Njombe na Geita wana ujanja wa kizamani,ukatili na kuuana,
Ushauri wangu kwa wahusika, Geita itangazwe kanda maalumu ya kipolisi na pia waweke RPC mbabe.
Huyu mama Safia Jongo sio kwamba hafai, ila atafutiwe mikoa laini kama Manyara, Singida Tanga Nk.Geita apelekwe mbabe wa vita.
Wikiendi hii wamemuua mwalimu wa sekondari bonge la mtu futi saba kifua kinene kikatili sana.
RIP teacher BIG