Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832
Sema wanajenga fensi kuziba eneo la uwanja wao wa mazoezi labda tutaelewa
 
Acha makasiriko mkuu.....twende kwa hoja.....
Nyani hawawezi kuwa na hoja hata wavalishwe suti.
IMG-20191111-WA0001.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Fight for food for four years ,ndio hii njemba Sasa.

Hata Akili ya kujishughurisha kidogo tu na kuwaza kwa upana hakuna kabisa.

Unakumbuka Yanga aliwahi pitisha Bakuli na kweli alikua anapata pesa nyingi na zikawa zinawasaidia kutatua matatizo yao ,je Rudi hapo hapo unahisi Leo hii Geita Gold nao ikatokea wamepata changamoto Kama ya Yanga ya wakati ule ,hao Geita wakiamua kuchangisha Bakuli Wana jeuri hata ya kupata million 10 mtaani?

Kwenye swala la uwanja wa Simba nguvu ya mashabiki ndio imeamua hivyo viongozi nao wamebariki ,huwez zuia nguvu ya umma.
 
Hiki kinyesi Chako cha njano na kijani ulichoharisha humu jamvini kinatunukia. Tafadhari njoo ukizowe upeleke huko kwenye madimbwi yenu ya vyura
 
Dindisha akili we matako ,Zaid utapakuliwa kisamvu hapa ,acha shobo za kipumbavu
 
Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832
Kwahiyo ulitakaje?
 
Yanga wanatafuta pakujifichia wakiongozwa na chizi wao manara ila tambua kuna mdhamini nyuma ya pazia,

Kwa hela gani walizonazo yanga wanataka watu wafanane.
 
Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832
Mbona tunachangia harusi na mke sio wetu???
 
Kuna kitu cha kujifunza pia, ni upi mfumo wa umiliki uliopo kati ya timu zifuatazo:
1: Timu ya Geita gold
2: Timu ya Simba
Pia hata namna ya ku handle Mambo ya maendeleo ....lkn sio kuhamssisha wabongo wakuchangie........

Utachelewa sana
 
Back
Top Bottom