Idugunde JF-Expert Member May 21, 2020 6,273 6,637 Jun 4, 2023 #1 Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
J jabulani JF-Expert Member Aug 1, 2015 5,547 11,694 Jun 4, 2023 #2 Wanaojiunga ni wengi kuliko wanaotoka
Mrs Thabo Bester JF-Expert Member Oct 2, 2020 3,145 7,852 Jun 4, 2023 #3 WAla sio pigo..kawaida tu alitoka ZZK sembuse hao vinyangalika
J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 84,678 143,090 Jun 4, 2023 #4 Kaenda kupeleleza tu huyo kama mh Kambaya
Mbekenga JF-Expert Member Jun 14, 2010 3,262 8,099 Jun 4, 2023 #5 Angehamia kijani ndo lingekuwa pigo
denooJ JF-Expert Member Mar 31, 2020 18,511 68,150 Jun 4, 2023 #6 Haya mambo ya fulani kuondoka, kisha kusema chama chenye mamilioni ya wanachama kimepata pigo ni ulevi tu.
Haya mambo ya fulani kuondoka, kisha kusema chama chenye mamilioni ya wanachama kimepata pigo ni ulevi tu.