Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Oct 31, 2011 #1 Jamani habari zenu, nahitaji gearbox ya Mitsubishi Chariot, Full time four wheel drive, mwenye nayo please contact me. mind you hii siyo grandis ni model kabla ya hiyo Asanteni
Jamani habari zenu, nahitaji gearbox ya Mitsubishi Chariot, Full time four wheel drive, mwenye nayo please contact me. mind you hii siyo grandis ni model kabla ya hiyo Asanteni
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,719 Oct 31, 2011 #2 mwenye hiyo namba anayo ila alikuwa anauza na engine yake jaribu kuwasiliana naye 0655008009,
ikizu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 431 Reaction score 56 Oct 31, 2011 #3 pole sana na mimi ni miongoni mwa wahanga wa gea box ya suzuki grand ya mwaka 98 naomba msaada wakuipata
pole sana na mimi ni miongoni mwa wahanga wa gea box ya suzuki grand ya mwaka 98 naomba msaada wakuipata
ikizu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 431 Reaction score 56 Oct 31, 2011 #4 jamani nisaidieni namna ya kupata gea box ya suzuki grand ya mwaka 98
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,719 Oct 31, 2011 #5 jaribu namba hii 0652110878
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Oct 31, 2011 Thread starter #6 Mamndenyi said: mwenye hiyo namba anayo ila alikuwa anauza na engine yake jaribu kuwasiliana naye 0655008009, Click to expand... Asante sana for a rapid responce let me check with him.
Mamndenyi said: mwenye hiyo namba anayo ila alikuwa anauza na engine yake jaribu kuwasiliana naye 0655008009, Click to expand... Asante sana for a rapid responce let me check with him.