Gbagbo refuses phone call from Barack Obama

He who refuses a message calls war at his own backyard. And so Bagbo should be prepared to face the bitter wrath from the international community.
 
Huyu mzee namuonea huruma kwani hata akilazimisha kuongoza hali yake itakuwa mbaya kuliko Mugabe. kumbukeni Mugabe alipata support ya viongozi wa Africa lakini huyu mwenzetu ana support tu ya jeshi lake na wafuasi wake ila katika anga za kimataifa milango yote imefungwa hataweza kushirikiana na mtu yoyote. Ni afadhali tu akubali kiume mambo yaishe kwani anakoelekea itakuwa siyo tu kupata aibu bali kuishia ICC huko the Hague.
 
Wanasiasa kweli kichwa ngumu. Gbagbo amesahau yeye mwenyewe aliupataje huo uraisi kutoka kwa Robert Guéï.
 
Goude ataka hoteli ya Ouattara ishambuliwe

Alhamisi, 30 Desemba 2010
ap_ivory_coast_un_troops_480_22dec10.jpg
Picha AP

Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wakifanya doria katika mtaa mmojawapo huko Abidjan, Ivory Coast. Dec 22,2010

Shirikiana nasi

Waziri wa vijana katika serikali ya Ivory Coast anahimiza wafuasi wa Rais asiyetambulika kimataifa Laurent Gbagbo kuchukua udhibiti wa hoteli moja huko Abidjan, ambapo mpinzani wake Alassane Ouattara ameweka makao makuu chini ya ulinzi wa Umoja wa Mataifa.

Waziri Charles Ble Goude aliliambia gazeti moja la Ivory Coast siku ya Alhamisi kwamba bwana Ouattara ana hadi Januari 9 kuondoka hotelini hapo, ambapo ameunda serikali iliyotambuliwa kimataifa.

Ble Goude, ambaye pia anaongoza kundi la wanamgambo “Young Patriots” anataka lifanyike shambulizi la wazi katika hoteli hiyo.
Hoteli ya Waterfront inalindwa na kundi moja dogo la wapiganaji wa uasi wanaomtii bwana Ouattara na kiasi cha walinda amani 800 wa Umoja wa Mataifa.

Wote bwana Ouattara na bwana Gbagbo wanasema walishinda duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika Novemba 28. Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa inamtambua bwana Ouattara kama rais wa nchi hiyo.

Jumatano balozi mpya wa Ivory Coast katika Umoja wa Mataifa alisema mgogoro unaoendelea nchini humo kuhusu nani alishinda uchaguzi wa rais wa mwezi uliopita unachochea nchi kuingia katika mauaji ya halaiki.

Youssofou Bamba alitoa matamshi hayo huko New York baada ya kujitambulisha rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon. Aliteuliwa kushika nafasi hiyo na bwana Ouattara.
 
Hawa AU nao vigeugeu ..mbona Comoro wali invade faster au wanaangalia na msuli wa nchi??
 
He has put his head in the sand. Kukataliwa kwa balozi wake huko GB ni ishara nyingine kuwa mambo yanamuendea kombo very fast.
 
Hawa AU nao vigeugeu ..mbona Comoro wali invade faster au wanaangalia na msuli wa nchi??

Unafanya masihara?
Muulize Mwamunyange, vikosi vyake ndo viliongoza ile operesheni ya Comoro...
 
Yeye alikosea ilibidi achakachue uchaguzi siyo kung'anga'ania madaraka!. Kabla ya tarehe 10 ya huu mwezi kuna mawili aondolewe kwa nguvu nakueekwa jela au kwakuuwawa.
 
Gbabo is a criminal, over ten years tenure has been committing these criminal acts, that is including; killings, tortures, corruptions and many other illegal acts. His great fear is the ICC. So now die or go to jail. He is going to resist until last minute Is ready for anything. Military action is imminent only option. Are the Westerner ready to die like Iraq and Afghanistan?
 
this is AFRICAN STYLE, nothing new there, tuliona zimbabwe, kenya , tz, n.k
 
Bi Mkora, you are very optimistic. Siasa ni mchezo mchafu sana!
 
Back
Top Bottom