Gbadolite jiji binafsi ndani ya msitu mnene

Mobutu sese seko Nguku ngbendu wa za banga[emoji23]... namkubali sana uyu jamaa afu sijui kwanini
zamani watu walijua kujinufaisha
 
Mobutu kaishi Maisha ya anasa wakati wananchi hawapati huduma muhimu.
Sio yeye ni wakoloni weusi wote ufanana tabia na matendo kuuibia wanyonge kwa mgongo wa mtetezi wa wanyonge kumbe ni wapigaji wakubwa,Trump alisema ni shit hole kabisa tazama wanaibia watu wao wanakuja kuficha kwenye mabenki yetu,heri tusingedai Uhuru tungekuwa tunakaribiana na ulaya kuliko kutawaliwa na wakoloni weusi hawa,huku tirion 1.5,Angola binti wa raisi mwizi,kabila mtoto mwizi,Mobutu mwizi,Mugabe mwizi,raisi wa Nigeria kakutwa na maburungutu ya madola kwenye masafe ya nyumbani, mchawi yahya jameih mwizi yalikutwa porini Magari ya kifahari yamefichwa,Zuma mwizi,bokasa,hao kwa uchache,wakoloni weusi ujali matumbo yao kuliko wananchi wao,ufanana tabia,ni walafi,wapenda starehe,washirikina,wezi,wauaji,wazinzi.Africa kuendelea ni ndoto.
 
Haya ndio maisha ya viongozi wetu wa Afrika maisha ya anasa na kwenda kuficha fedha zetu ughaibuni tunasafari ndefu sana Tz.
 
Mobutu kaishi Maisha ya anasa wakati wananchi hawapati huduma muhimu.
Amekula raha sehemu kubwa ya maisha yake, labda alisumbuka wiki ile ya mwisho tu. It was worth it for him. Hakuna alichopoteza binafsi, alikula bata vilivyo.
 
Viongozi wengine wa Afrika wajifuze yaliyo mkuta Mobutu yanaweza kumkuta Mseven, Kabila, Nkurunzinza na wengineo.
 
Hivi ukila raha kwa miaka 67 halafu ukateseka kwa wiki moja tu ya mwisho ya maisha yako kuna ubaya gani?
 
_70359575_interior.jpg
 
Mleta Mada umeshindwa kabisa kuweka picha hata moja, moja tu!!?
Nilitamani nikutukane lakini nikagundua waeza kuwa ni miongoni mwa tuliofeli shule kwa kutoshugulisha akili zetu pale tunapohisi hatuna jibu
Unashindwa nini kutafuta hizo picha hata mtandaoni ama kutafuta hii kitu kwenye mtandao hasa hiatoria ya huyo mtu
Lakini pia kama unadanganywa kwanini usiende kongo kujionea acha upuuzi wewe na wenzio
Screenshot_20180418-232129.png
 
Nilitamani nikutukane lakini nikagundua waeza kuwa ni miongoni mwa tuliofeli shule kwa kutoshugulisha akili zetu pale tunapohisi hatuna jibu
Unashindwa nini kutafuta hizo picha hata mtandaoni ama kutafuta hii kitu kwenye mtandao hasa hiatoria ya huyo mtu
Lakini pia kama unadanganywa kwanini usiende kongo kujionea acha upuuzi wewe na wenzioView attachment 749530
msamehe bure..nikirudi kwenye haya magofu hata Chato patakuwa hivi baada ya muongo mmoja
 
Sio yeye ni wakoloni weusi wote ufanana tabia na matendo kuuibia wanyonge kwa mgongo wa mtetezi wa wanyonge kumbe ni wapigaji wakubwa,Trump alisema ni shit hole kabisa tazama wanaibia watu wao wanakuja kuficha kwenye mabenki yetu,heri tusingedai Uhuru tungekuwa tunakaribiana na ulaya kuliko kutawaliwa na wakoloni weusi hawa,huku tirion 1.5,Angola binti wa raisi mwizi,kabila mtoto mwizi,Mobutu mwizi,Mugabe mwizi,raisi wa Nigeria kakutwa na maburungutu ya madola kwenye masafe ya nyumbani, mchawi yahya jameih mwizi yalikutwa porini Magari ya kifahari yamefichwa,Zuma mwizi,bokasa,hao kwa uchache,wakoloni weusi ujali matumbo yao kuliko wananchi wao,ufanana tabia,ni walafi,wapenda starehe,washirikina,wezi,wauaji,wazinzi.Africa kuendelea ni ndoto.
WaTz wangelikusoma na kukuelewa [emoji85] [emoji120]
 
Back
Top Bottom