Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Ninatumia Samsung Galaxy note2 Android version yake ni 4.4.2 ina 2GB RAM. Shida ni hiyo Android version. Je kuna uwezekano wa kui-update ili iwe kubwa zaidi ya hapo?Nyie simu zenu ni uwezo wachini
Kama una
Android version 6
Ram 2gb utafurah sana
Ngoja mkuu Chief aje uenda ukapata jibuNinatumia Samsung Galaxy note2 Android version yake ni 4.4.2 ina 2GB RAM. Shida ni hiyo Android version. Je kuna uwezekano wa kui-update ili iwe kubwa zaidi ya hapo?
Inawezekana ila wewe bhas inaonekana hiyo gb itakuwa inastuck kwa kuzidiwa na vitu vingi mfanoNinatumia Samsung Galaxy note2 Android version yake ni 4.4.2 ina 2GB RAM. Shida ni hiyo Android version. Je kuna uwezekano wa kui-update ili iwe kubwa zaidi ya hapo?
Zipo Gb whatsapp tofauti tofauti? Au ni hiyo hiyo moja tu?Inawezekana ila wewe bhas inaonekana hiyo gb itakuwa inastuck kwa kuzidiwa na vitu vingi mfano
Mfano hapa dream la footbal game lina mb 314Ninatumia Samsung Galaxy note2 Android version yake ni 4.4.2 ina 2GB RAM. Shida ni hiyo Android version. Je kuna uwezekano wa kui-update ili iwe kubwa zaidi ya hapo?
Mm najua ipo gb whatsapp mmoja ila ikitoka version mpya itakuambia update na unahamia version nyingne ya gb whatsappZipo Gb whatsapp tofauti tofauti? Au ni hiyo hiyo moja tu?
Kama ipo nzuri zaidi, naomba link.
Ninaweza kupata link ya Gb whatsapp unayoitumia wewe! Maana nimetoa apps zote kubwa kubwa lakini bado Messages zinachukua muda mrefu kuonesha tick ya kuwa zimeenda.Mfano hapa dream la footbal game lina mb 314 View attachment 492785View attachment 492784 na facebook ina mb151 sasa wewe jarbu kuclear data kwako kwenye app ambazo zina mb nying then ingia whatsap ya gb angalia tena ipo vip kama faster au slow
Na pia clear data gb whatsapp na ingiza namba ya simu ila usi backup
Weka link bas mkuuNinaweza kupata link ya Gb whatsapp unayoitumia wewe! Maana nimetoa apps zote kubwa kubwa lakini bado Messages zinachukua muda mrefu kuonesha tick ya kuwa zimeenda.
me natumia hyo kwenye s3 mini hainisumbui hata
GBWhatsapp Apk Download Page • Latest Mod Apks ingia hapo nenda kadownload kakaNinaweza kupata link ya Gb whatsapp unayoitumia wewe! Maana nimetoa apps zote kubwa kubwa lakini bado Messages zinachukua muda mrefu kuonesha tick ya kuwa zimeenda.
dah we jamaa sijui nikupe ukuu wa mkoaNyie simu zenu ni uwezo wachini
Kama una
Android version 6
Ram 2gb utafurah sana
Yap umenena mkuu....!!!Nyie simu zenu ni uwezo wachini
Kama una
Android version 6
Ram 2gb utafurah sana
Una maanishe umuite Bashite!dah we jamaa sijui nikupe ukuu wa mkoa
kwn mweny ukuu wa mkoa ni bashite peke yake!!!?Una maanishe umuite Bashite!