Inaitwa parallel spaceHata usihangaike nayo hiyo,nenda playstore kuna app inaitwa parralel account unaweza fungua hata whatsapp 3 tena easy na fasta
Hakika, hata mm naitumia....chukua hii ucsumbuke GBWhatsapp Apk Download Page • Latest Mod ApksNawezaje kufungua account mbili za WhatsApp kupitia hiyo GB WhatsApp?
Msaada wadau