Wakuu naombeni msaada. Naona Sasa hivi hizi WhatsApp zote Zina link moja kwa moja na official WhatsApp. Zamani nilikua naweza kutumia official na hizi za developers Ila kwa Sasa nikijaribu kwenda play store inanionyesha kuwa tayari ninayo. Najaribu WhatsApp business lakini inagoma ku install.
Napataje WhatsApp nyingine maana nahitaji kuwa nazo 2.kwa Nina FM whatsapp