Gb WhatsApp New Version

Jamani GbWhatsapp version 5.90 imetoka, link pse
 
Umejuaje kama imetoka? Km umejua imetoka unashindwaje kupakua?
Imetoka mkuu wengi uwa wanashindwa kuupdate,link ninayo ila kuweka hapa ndo siwezi kama kuna mtu anajua anielekeze niiweke
 
Unaweza ukawa nayo whatsaap yako ya kawaida na uka install gb whatsaap kwa namba nyingine kwa hio ukawa na whatsaap mbili kwenye simu moja..kwa mfano mm niko na whatsaap 3 namba tofauti kwenye simu moja.yote inawezekana.
 
Maneno kama haya yakutokuwa mvumilivu,nikahamua nikucancell umeona wenzio wanalialia
mikumiyetu unazingua, mwenyewe mwanzoni kabla sijaingiaga chuo nilidanganywa hivo hivo nkatapeliwa,, inshort guys hamna kitu kama hicho,,we ukitaka bundle za chuo just buy line za chuo na usajili, kuna halotel, airtel, ttcl.. izo ndo nzuri navoona so far .. so guys epukeni matapeli msikubali kuwekwa gizani

Your boy ngebo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…