Unaondoaje?
Pia unaweza tuma audio had mb 100Hiyo ya GB whatsup ipo kama whatsup plus kama ulishawahi kuitumia. Ambapo Unaweza kunadilisha themes tofouti hata kwa kila jina.
Unaweza kutuma picha hata 100 kwa wakati mmoja. Na pia unaweza kutuma video ya mb 30tofauti na whatsup ya kawaida
Hivi ukiwa na hiyo unatakiwa uiondoe ya hii nyingine auPia unaweza tuma audio had mb 100
No ukiwa na namba mbili zote zitafanya kaz unless una namba mojaHivi ukiwa na hiyo unatakiwa uiondoe ya hii nyingine au
Tukiwa na moja ni lazima uiunstall yazamanNo ukiwa na namba mbili zote zitafanya kaz unless una namba moja
Cjakuelewa MkuuTukiwa na moja ni lazima uiunstall yazaman
Halirekebishiki kwa kwelShida message zake zinachelewa kwenda. Hili tatizo linaweza kurekebika?
Hapana Mkuu zote zinafanya kaz. Ila kila moja unasajili kwa namba yakeTukiwa na moja ni lazima uiunstall yazaman
Kwa sasa tatizo langu limeisha. Nilikuwa na apps nyingi. Nimezipunguza simu imebaki na nafasi. Kwa sasa nina enjoy the national cake.Halirekebishiki kwa kwel
Mi natumia zote, kila moja inajitegemea kwa namba mbil tofaut, hii gb ina sehem zote, dp, status za maneno na ile status ya kuweka picha or video kwa 24hrs,[emoji4]Ili nijiunge na hio ina maana nifute ya sa hvi..
Je ntaweza kuona dp na status?!!
Napenda ubuyu[emoji4][emoji4]
AnhaaMi natumia zote, kila moja inajitegemea kwa namba mbil tofaut, hii gb ina sehem zote, dp, status za maneno na ile status ya kuweka picha or video kwa 24hrs,[emoji4]
Yaaani hii kitu ni mwisho wa matatizo. Kuna kademu nilikazimia last seen na tick alafu nikakadanganya nimeibiwa simu kakaamininachoipendea hii sisi tunaodaiwa nikiipata meseji naisoma afu nakausha tu,vile vimistari vinavyojigeuza rangi ili kujua kama meseji nimeipata na kuisoma havipo wala nini,kwahiyo inasaidia sana...unaweza kudhani sipo online mwaka mzima kumbe nakuchora tu.....