Gb WhatsApp New Version

Gb WhatsApp New Version

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,367
Reaction score
27,773
Habari ya wikiend wakuu...



Naomba kwa mdau mwenye link ya Gb WhatsApp aiweke hapa tafadhali!
 
Hiyo ya GB whatsup ipo kama whatsup plus kama ulishawahi kuitumia. Ambapo Unaweza kunadilisha themes tofouti hata kwa kila jina.

Unaweza kutuma picha hata 100 kwa wakati mmoja. Na pia unaweza kutuma video ya mb 30tofauti na whatsup ya kawaida
 
Tatizo haina direct updates za playstore, yani mpaka u download kupitia browser.
 
Kama hupendi mambo ya what's app status unayaondoa zinakuja contacts kama zamani
 
Imetoka update mpya na nme update leo asubuhi ni ya v5.50 chukua hiyo kuna jamaa kaweka link yake hapo juu.
 
Back
Top Bottom