Gazeti Mwananchi :Polisi yajiandaa kupambana na wenye mapanga uchaguzi mkuu

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Ipo picha kubwa ya askari wakiwa na mapanga wakijifua kupambana na wakorofi kipindi cha uchaguzi. Nionavyo mimi kuna namna wananchi watatishwa na kushindwa kupiga kura. sijui gharama yote tunayotumia na kuanza vitisho .
 
Sioni wakitikisa unywele wa kijana yeyote kwa hilo. Watakaotishwa ni wazee na kina mama. Ambao mara nyingi kura zao huenda kwa kile chama chetu...
 
Back
Top Bottom