Mkuu Sikonge, uliyosema ni kweli kabisa, habari zote zilishaandikwa humu JF. Kitu nilichokuwa nataka kusema ni kuwa, JF imekuwa changamoto au chimbuko la kutoa hoja ambazo baadae zinapelekwa kwa watu wengi zaidi kupitia magazeti.

Mimi nadhani ni vyema mijadala hii inayoendelea hapa kama itatoka nje kwa vyombo kama magazeti kuchapisha, kwani inapanua uwigo wa mjadala, na kuwafikia watanzania wengi. Mwandishi anaweza kuacknowledge tu kwa kusema huu ni mjadala kutoka JF kuliko kujimilikisha kazi ya wengine, kuweka kuwa ni mawazo yake.