Gazeti la Uingereza laimulika serikali ya Magufuli na kusema inaelekea kwenye uimla na kuua upinzani isikosolewe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Gazeti la Africa Confidential (limedai kuwa matukio mbalimbali yanayotokea nchini hasa dhidi ya upinzani yanahusishwa na mabadiliko yaliyotokea katika Idara ya Usalama wa Taifa nchini. Katika toleo lake la 58. Juzuu ya 20, Oktoba 6, 2017 limedai kuwa Rais Magufuli anaelekea kwenye utawala wa kiimla kwa kile kinachoonekana kujaribu kuzima upinzani nchini.

“Anaonekana anafuata mfano wa Ethiopia na Rwanda ambapo ukuaji mkubwa wa uchumi unatokea chini ya kivuli cha ukandamizaji wa upinzani” gazeti hilo limedai likiwanukuu watu wasiotajwa ambao wanaitwa ni “kundi la wanasiasa”.

Gazeti hilo limedai kuwa jaribio la mauaji ya Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu wa Upinzani Bungeni Bw. Tundu Lissu linasemekana lilifanywa na vyombo vya usalama. Likiandika kiaina jarida hilo linadai kuwa “Hakuna mashaka makubwa ya nani anahusika na jaribio dhidi ya Lissu kama asingekuwa amekamatwa mara sita tangu Magufuli aingie madarakani na kupekuliwa nyumbani kwake.”

Likinukuu kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) gazeti hilo limesema kuwa hata Mbowe mwenyewe amejikuta kwenye jicho baya la serikali ambapo miradi na shughuli zake mbalimbali zimekodolewa macho Zaidi na serikali na hivyo kuonekana kama kuna namna imelengwa dhidi ya upinzani nchini.

Hata hivyo madai makubwa ya jarida hilo ni yale yanayosema kuwa upinzani nchin unaituhumu serikali na hasa vyombo vya usalama kutokana na hali inayoendelea dhidi ya upinzani. “Wapinzani wanalaumu kitengo cha siri ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kufuatia shambulio hilo la silaha na vitendo vingine vya kuhujumu upinzani” limedai jarida hilo ambalo linachapishwa kutoka London, Uingereza.

Jarida hilo linadai kuwa kitengo hicho kinawajibika kwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bw. Robert Msalika. Jarida hilo linadai – bila kuweka uthibitisho wa kauli zake au vyanzo vyake – kuwa Msalika alikuwa kwenye ubalozi wa Tanzania huko Ethiopita ambapo alijifunza mbinu mbalimbali za kuhujumu upinzani. “Alijifunza jinsi ya kuhujumu upinzani kutoka chama tawala ambapo serikali inaweza kuongoza mafanikio ya kiuchumi lakini wakati huo huo kukandamiza upinzani na uhuru wa kuzungumza”.

Gazeti hilo limedai kuwa Msalika aliteuliwa Augusti mwaka jana wakati ambapo Mkurugenzi mpya wa TISS Modestus Kipilimba alipoteuliwa baada ya kustaafu kwa Rashid Othman.

Jarida hilo hata hivyo limetoa madai mengine ambayo limeyaita ni ‘tetesi’ kuwa Magufuli yuko karibu sana na Rais Kagame wa Rwanda na “kuna tetesi kuwa ameongeza ulinzi wake kutoka kwa vikosi vya kikomandoo vya Rwanda”. Hata hivyo, jarida hilo halijaeleza msingi wa tetesi hizo au uthibitisho wa aina yoyote wa kwanini jambo hilo linawezekana hasa kwa vile kwa muda mrefu serikali ya Tanzania imekuwa ikiamini katika vyombo vyake vya ulinzi.

Jarida hilo pia limetoa madai mengine mbalimbali kuhusiana na hali ndani ya CCM ikiwemo suala la mgongano wa maoni kati ya Rais Kikwete na Magufuli kuhusiana na upinzani na ushiriki wa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Abdulrahman Kinana katika shughuli mbalimbali za chama.

Source:Africa Confidential | The world's leading fortnightly bulletin on A
 
wacha nilitafute hilo gazeti mwenyewe nifungie vitumbua
 
Tafadhali sana Mmuache Rais wangu! Tangu Mwezi uliopita kesha waambia YEYE alisukumizwaaa tu! Sasa na yeye anatusukumizaaa! Ngoma Droo!
 
Ulitakiwa utoe acknowledgement kuwa hii tafsiri umeitoa kutoka kwa Mzee Mwanakijiji katika tovuti yake inayoitwa Zama Mpya.

Habari inapatikana hapa;
Jarida la Africa-Confidential Latoa Tuhuma Nzito kwa Serikali ya JPM – ZamaMpya | Sauti ya Kuaminika
 
Nenda kaishi UK na wewe kama unaona hiyo habari ni muhimu sana kwa Tanzania. Kila nchi wahangaike na matatizo ya wanainchi wake.
 
Tayar tupo huko watu wasiofahamika wanazidi kuongezeka kwa ajili ya kupambana na wakosoaji.
 
Back
Top Bottom