Gazeti la Uhuru: Mil. 950 za fidia CCM hatarini kutafunwa

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,848
5,059
Kikwete: CCM kumejaa mafisi
Mwakembe: mahakama ya mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza.

kwa nini kila Siku ccm tu, hasa linapokuja suala la ufisadi? ningekuwa msajili Wa vyama vya siasa ningeifuta ccm kama suruhisho la kukomesha ufisadi maana huko ni kama kuna somo la kuiba linafundishwa

chanzo: gazeti la Uhuru linalomilikiwa na ccm

uvccm naomba msinishambulie siyo Mimi Bali chama chenu kinalalamika
 
Kunywa Maji Kwanza!
Afu Vuta Pumzi!
Wewe ya CCM Yanakuhusu Nini?
 
we jombi unaCHEKESHA sana, hujafikirisha akili yako kuwa msajili wa vyama huteuliwa na mwenyekiti wa CCM? unaanzia mkoa gani kukifuta!!? hahaha
 
Hata kama nikiteuliwa na huyo mwenyekiti nikiamua kufuata sheria mbona kukifuta ni rahisi tu, labda nijiondoe ufahamu
 
Kabla ya Kukifuta Utakuwa Umefutika Wewe!
Halafu,
Utaanzia wapi?
Hata ukitangaza umekifuta,tunautangazia umma kuwa unaumwa ugonjwa wa akili na umeanza kuweuka!
Then,tunakupeleka milembe for five years ili uwe "sober",then ukitoka uko unakuwa mtu "makini!"
Rais anateua mtu mwingine na maisha yanaendelea!
 
Mara nyingi wenye njaa hushindwa kuvumilia na hatimaye kukimbilia kuiba, na hivi ndivyo wanavyofanya makada Wa chama chako, ukiwemo na wewe
njaa inakusumbua wewe!
Unafikiri tukikuteua mwenyekiti wa bodi ya asali utakataa!?
Si umemuona Polepole?
 
Kabla ya Kukifuta Utakuwa Umefutika Wewe!
Halafu,
Utaanzia wapi?
Hata ukitangaza umekifuta,tunautangazia umma kuwa unaumwa ugonjwa wa akili na umeanza kuweuka!
Then,tunakupeleka milembe for five years ili uwe "sober",then ukitoka uko unakuwa mtu "makini!"
Rais anateua mtu mwingine na maisha yanaendelea!

Bado wenye akili wataelewa isipokuwa watu kama nyie mliofanyiwa upasuaji Wa ubongo na kuwekewa kinyesi cha paka
njaa inakusumbua wewe!
Unafikiri tukikuteua mwenyekiti wa bodi ya nyuki utakataa!?
Si umemuona Polepole?
 
njaa inakusumbua wewe!
Unafikiri tukikuteua mwenyekiti wa bodi ya asali utakataa!?
Si umemuona Polepole?

njaa ingenisumbua sasa hivi ningekuwa mpiga debe Wa chama cha majizi kama unavyofanya wewe, kwa ujira Wa buku 7
 
Back
Top Bottom