Gazeti la Uhuru lamuomba msamaha Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi kwa uzushi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Gazeti la chama la Uhuru limemuomba msamaha katibu mkuu wa wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kwa kumzushia kujiuzia gari alilokuwa anatumia mama Tibaijuka chi i ya milioni tano.

Gazeti hilo limetabainisha kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa kina limegundua kuwa hakuna utaratibu uliokiukwa tofauti na ilivyoripotiwa awali.
 

Attachments

  • IMG-20151225-WA0036.jpg
    IMG-20151225-WA0036.jpg
    111.3 KB · Views: 2,320
Gazeti la chama la Jamhuri limemuomba msamaha katibu mkuu wa wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kwa kumzushia kujiuzia gari alilokuwa anatumia mama Tibaijuka chi i ya milioni tano.

Gazeti hilo limetabainisha kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa kina limegundua kuwa hakuna utaratibu uliokiukwa tofauti na ilivyoripotiwa awali.

Kwahiyo hawakufanya uchunguzi kabla wamefanya baada.Hii ndiyo inayofanya baadhi ya magazeti yabaki kufungia maandazi tu.
 
..kwani Uhuru ndio Jamhuri? hebu soma heading yako na content!
 
Hakuna utararibu uliokiukwa, ila ni kweli alijiuzia "shangingi" kwa shilingi milioni tano?
 
Wavamizi fani za watu!ona.mnavyokurupuka bila hata kujua mahala pa kuanzia,tulien mfanye kazi kwa umakini...wahusika wte.
 
Hapa suala si utaratibu kufuatwa, maana utaratibu kufuatwa haibadilishi ukweli kwamba hilo gari limetengenezwa kwa 55m na akajiuzia kwa 5m.
 
Back
Top Bottom