Gazeti la Tanzania Daima latumika kumsafisha Membe(?)

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

 
Wewe akili zako mbona zimekaa kichawi kichawi?
 
TWENDE NA MEMBE 2020
 
Mbona hutwambii musiiba kahongwa na nani?
 

Musiba nae kahongwa?
Yan mtu akiongea tofauti na mawazo yako basi amehongwa?
Hizo ndio Habari wasomaji wao wanataka kusoma ndio Maana wanaziandika, ww nenda kasome uhuru na mzalendo
 

Na Cyprian Musiba na vigazeti vyake vya kimalaya anapowachafua watu anahongwa na nani? Ishu ya Membe imewawia nzito sana kiasi mnataka kumshika uchawi kila mtu. Membe ni kada mwandamizi wa CCM hivyo hiyo vita ni yenu wenyewe na roho mbaya zenu za kutaka kulipiziana visasi. Chinga Two atakutoeni kamasi sana mwaka huu .
 
Haya kachukue buku 7 yako kwa Polepole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…