Gazeti la Tanzania Daima laelekea kuishiwa pumzi

Wewe ni mmoja wa wale 21 walokamatwa Zanznibar piia ni kat ya wale 67 asilimia bavicha mnaotumia ARVs yan mmewaka

MBWIGA.jpg
 
Leo limetoka na "Gavana wa Benki kuu APIGWA CHINI" Siku hizo Mtumishi wa umma kustaafu ni KUPIGWA CHINI!!??
Mkuu hawaelewi kuwa mtumishi wa Umma ana paswa kuchukua likizo ya kustaafu siku 28 so hapo jamaa ana mwezi mmoja tu wa kukaa ofisi wao kwao kustaafu ni kupigwa chini
 
Ni swala tu la logic, kwenye hiyo sentensi angeongeza tu maneno machache. Asilimia ya walioathirika na sio Watanzania wote. Aliyeandika amechafua hali ya hewa, hata hivyo mtu mmoja hatufanyi wote tuwe vilaza .Ni kosa kubwa katika jamii aombe msamaha.
 
Ile ya mwaka, ilo wahi kusambazwa na TBC kuwa Donald Trump kumpongeza na kumsifia kwa kazi nzuri anayo ifanya kaigusia?
 
Mimi nilivyoona tu kichwa cha habari hiyo nilijua tu..ni 67% ya Watanzania ya WALIOATHIRIKA ndio wanatumia ARVs kwa hiyo hata sikushtuka sana
 
Hii ndio yenyewe. KataFunua. Wakithani wanamwaribia JPM. Kumbe na wao wamo. Sawa Na MTU anayekata tawi la mti aliokalia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom