Gazeti la Tanzania Daima laelekea kuishiwa pumzi

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
[https://4]

Jana nilikuwa nasoma gazeti moja, katika ukurasa wa mbele wameandika “Asilimia 67 ya Watanzania wanatumia ARVs,” nilipo liona nikajua wamekosea bahati mbaya nikaamua kufungua ndani nione kama walirekebisha.

Nilipofungua ndani, nilikuta kichwa cha habari kile kile, nikasema ngoja nisome, labda watakuwa wamerekebisha humu ndani, lakini habari ikawa vile vle kuwa watanzania 67% wanatumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI.

Hayo yamesemwa leo na Rais Magufuli alipokuwa anatoa wito wake kwa waandishi wa habari nchini kuwa wazalendo na kuandika habari za kujenga kwani akiandika habari za kupotosha, wanaichafua Tanzania.

Rais alisema hayo kwenye hafla ya kutoa vyeti kwa wajumbe wa kamati mbalimbali zilizohusika katika mchakato mzima wa madini, na kufanikisha kufikiwa kwa makubaliano ambayo yameweka mwanzo mzuri wa serikali kuanza kunufaika na rasilimali zake.

Rais alisema baada ya kusoma hiyo habari alishtuka, na kuamua kumpigia simu Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ili apate ufafanuzi, na ndipo waziri akasema taarifa hiyo si ya kweli.

Waziri Mwalimu alisema kuwa, alichokisema wakati wa Tsh 860 milioni kwa ajili ya kununua dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI ni kwamba, jumla ya watanzania milioni 1.4 wameathirika na virusi vya UKIMWI na kwamba miongoni mwao (walioathirika), ni asilimia 67% pekee wanaotumia ARVs na kwamba lengo la serikali ni kufika asilimia 90% ifikapo mwaka 2020.

Taarifa hiyo iliandikwa kwatika gazeti la kila siku la TanzaniaDaima ambalo hutolewa na Kampuni ya Free Media inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe.

Rais Magufuli alisema kwamba, taarifa kama hiyo inapoandikwa, inamadhara makubwa kwa nchi kwani hata wawekezaji hawawezi kuja kwenye nchi ambayo inaelezwa asilimia 67 ya watu wake wameathirika na UKIMWI kwa sababu anajua hata akija hatopata nguvu kazi ya kutosha kufanyakazi kwenye kiwanda/kampuni yake.

Lakini pia alisema, taarifa hiyo inaweza kutishia hata watalii waliopanga kuja kutembelea vivutio mbalimbali vya kitalii vilivyopo nchini Tanzania.

Katika hatua nyingine, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amelazimika kutolea ufafanuzi kauli yake aliyoitoa akiwa Sumbawanga mkoani Rukwa kuwa wale wote waliojenga katika maeneo ambayo wamevamia au wamewadhulumu watu wengine, serikali itabomoa nyumba zao.

Waziri amelazimika kutolea ufafanuzi kauli hiyo kutokana na magazeti ya leo Oktoba 23 kuripoti taarifa hiyo kwa namna ya kuogofya, huku baadhi ya vichwa vya habari vikisomeka, Bomoa Bomoa kubwa yaja (Nipashe), Bomoa Bomoa ya karne yaja (Mtanzania).

Akiongezea kwenye taarifa hiyo ya bomoa bomoa, Rais alisema kuwa waandishi hao wangeweza wakaandika Waliojenga bila vibali kukiona cha moto na watu wakasoma badala ya kuandika vitu ambavyo vinapotosha na kuwatia hofu wananchi.
 
tz daima.jpg
tz daima.jpg

KIJARIDA CHA WAHUNI HIKI

Elimu Jamani Shule tatizo
Angalia mmiliki mwenyewe Anaelimu gani!
Kisha Utapata Elewa kwanini hilo ligazeti nila hovyo Nchini!
Mmiliki ndo anaenda kutafuta iyo habari na kuiweka kwe gazeti?na mmiliki wa zile habari za ikulu ni nani?
 
Rais alisoma pia lile andiko la Ikulu la jana? Angeongelea na lile andiko la Msigwa pia

Unaona watoto mtakua lini. Embu ona hapo point kwanza. Who is msigwa Ana faida gani. Ukicompare na habari hizi muhimu kama ukimwi ubomoaji. Stupid
 
MOJA YA SIFA ZA WATU WANAOTUMIA ARV'S NI KUWA NA HASIRA.

SASA NAPITIA MCHANGO WA MTU MMOJA HADI MWINGINE ILI NIFANYE UTAFITI WANGU KUPITIA KWA WALE WANAOCHANGIA MADA HII.

ILI NIJIRIDHISHE NA HIYO % YA KWENYE GAZETI.
 
Unaona watoto mtakua lini. Embu ona hapo point kwanza. Who is msigwa Ana faida gani. Ukicompare na habari hizi muhimu kama ukimwi ubomoaji. Stupid
Do you know the meaning of stupidity? I guess not.. Humjui Msigwa? Ni msemaji wa ikulu which literally means msemaji wa mambo yote ya Rais...

Grow up you tard..!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom