Gazeti la Tanzania Daima laadimika mitaani

Gazeti la Tanzania Daima laadimika mitaani

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
Leo gazeti la Tanzania Daima limeadimika mitaani nimezunguka vibanda vya kuuzia magazetik.koo, Mnazi mmoja, Baridi, Akiba, Stesheni nijipatie nakala nimekosa naambiwa nakala zimeisha.
 
Lilikuwa na habari ya kubaka kwa kapuya front page
 
Suo peke yako kila nayemtuma anarudi Na majigazeti ya ajab ajab. Magazeti ambao hawaiuzi taarifa hii Ndo Walewale
 
Dah au Kapuya kalinunua?
 
huku arusha yako kibao yaani nimenunua copy 20 naenda kugawa kwa wana ccm. marafiki zangu....ccm hoyeeeeeeer
 
haha haaaaa...
kuna nakala nyingine zimetoka alasiri.
 
Haaahaa km naona vile wanatakavo fungiwa miezi 6 maana wao ndo wenye nchi eti...duh media industry iko corrupted sn uoga kiasi kikubwa wanaogopa wacje waka-Mwangosiwa bure
 
Kwa jinsi wanavyolindana huko selikalini hili gazeti litatafutiwa sababu ya kufungiwa muda si mrefu
 
Back
Top Bottom