Gazeti la Tanzania Daima mbioni kuingia mitaani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,641
218,091
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwa viongozi wa Gazeti hilo linalopendwa sana nchini Tanzania , kwamba siku yoyote kuanzia sasa Gazeti Kabambe la Tanzania litakuwa hewani .

Tanzania Daima pamoja na Magazeti mengine kama MwanaHalisi na Mawio , yaliyokataa kulamba miguu ya serikali ya Kidikteta ya awamu ya Tano , yalifungiwa kinyama huku baadhi ya Wahariri wake Wakishughulikiwa kikatili , baada ya Utawala wa awamu hiyo kuondolewa na Mungu , hatimaye magazeti mengi yaliyofungiwa yalirejeshewa leseni zao na Serikali ya Awamu ya 6 KWA MSAADA WA WAZUNGU .

Endelea kutufuatilia ili kufahamu siku ambayo nakala ya kwanza ya Gazeti hilo itasambazwa .
 
Hongera mama Samia, shida inakuja kwa waandishi wa hili gazeti, wengi darasa la saba na form four failures
 
Watategemea matangazo ya dawa za mkongo na super shaft kupata fedha
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwa viongozi wa Gazeti hilo linalopendwa sana nchini Tanzania , kwamba siku yoyote kuanzia sasa Gazeti Kabambe la Tanzania litakuwa hewani .

Tanzania Daima pamoja na Magazeti mengine kama MwanaHalisi na Mawio , yaliyokataa kulamba miguu ya serikali ya Kidikteta ya awamu ya Tano , yalifungiwa kinyama huku baadhi ya Wahariri wake Wakishughulikiwa kikatili , baada ya Utawala wa awamu hiyo kuondolewa na Mungu , hatimaye magazeti mengi yaliyofungiwa yalirejeshewa leseni zao na Serikali ya Awamu ya 6 KWA MSAADA WA WAZUNGU .

Endelea kutufuatilia ili kufahamu siku ambayo nakala ya kwanza ya Gazeti hilo itasambazwa .
Hata chadema kuna demokrasia yenye mipaka. Hakuna uhuru usio na mipaka kinyume chake wino wa mwandushi hugeuka kuwa damu.
 
Njoo muwaongezee nguvu wachafuzi wa JPM, wameona hazitoshi! Njooni muwasaidie! Maana wameongea, wamekashifu, wametukana asiyesema! Asiyeweza kujitetea!, lakini aliacha alama muhimu Tz!
Akupumuzishe kwa amani mwamba JPM
 
Sisi wengine tulimpa makavu Jiwe akiwa hai kabisa , hatukusubiri afe
 
Back
Top Bottom