MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Magazeti haya yaliyokaa kiudaku udaku na habari zake za kusadikika, yamekua yakimwandama sana Naibu katibu mkuu bara na Mbunge wa Chadema jimbo la Kibamba Mh Mnyika, sitaki kuamini kazi ya magazeti haya yamekua yakifanya propaganda chafu yakidhani yananufaika na habari hizo.
Hii ni kama chuki binafsi na wivu wa kipuuzi usiokua na maana kwa mtu ambaye taifa linamjua kwa uchapa kazi usiotia shaka. Magazeti haya yaliyojigeuza kua udaku kupambana na Mnyika ni sawa kupoteza muda tu.
Waandishi uchwara wamekaa vyumbani wamejifungia kufanya biashara ya kuchapa habari zisizokua na vyanzo vya kuaminika nao tutawaita ni wa hovyo tu.Ndio maana yule Msemaji wa JWTZ alisema watu wa aina hii ni wanataliwa kuadabishwa.