Gazeti la raia mwema/raia tanzania chuki ya nini juu ya mnyika? Mnanufaikaje na habari hizo?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Magazeti haya yaliyokaa kiudaku udaku na habari zake za kusadikika, yamekua yakimwandama sana Naibu katibu mkuu bara na Mbunge wa Chadema jimbo la Kibamba Mh Mnyika, sitaki kuamini kazi ya magazeti haya yamekua yakifanya propaganda chafu yakidhani yananufaika na habari hizo.

Hii ni kama chuki binafsi na wivu wa kipuuzi usiokua na maana kwa mtu ambaye taifa linamjua kwa uchapa kazi usiotia shaka. Magazeti haya yaliyojigeuza kua udaku kupambana na Mnyika ni sawa kupoteza muda tu.

Waandishi uchwara wamekaa vyumbani wamejifungia kufanya biashara ya kuchapa habari zisizokua na vyanzo vya kuaminika nao tutawaita ni wa hovyo tu.Ndio maana yule Msemaji wa JWTZ alisema watu wa aina hii ni wanataliwa kuadabishwa.
 
Attachments

  • IMG-20160706-WA0010.jpg
    IMG-20160706-WA0010.jpg
    40.5 KB · Views: 76
Mbona boss wake aliposema Tanzania tumerudi hatua 50 nyuma kidemokrasia, mlikesha mkiisherehekea kauli yake? Tusi gani limeandikwa na hayo magazeti. Mlitaka waandike hatua za kupika makande?
 
Waandishi wengine wanatumika njaa Kali jamani waacheni Chadema Yetu kwani imewakosea nini? Nadhani wakati umefika kuvishtaki vyombo vya habari kama hayo magazeti
 
Mnyika kachanganya akili aliyopewa na Mbowe na yake kaona ni bora akae pembeni awaachie chama Lao Wamachame.
 
Magazeti haya yaliyokaa kiudaku udaku na habari zake za kusadikika, yamekua yakimwandama sana Naibu katibu mkuu bara na Mbunge wa Chadema jimbo la Kibamba Mh Mnyika, sitaki kuamini kazi ya magazeti haya yamekua yakifanya propaganda chafu yakidhani yananufaika na habari hizo.

Hii ni kama chuki binafsi na wivu wa kipuuzi usiokua na maana kwa mtu ambaye taifa linamjua kwa uchapa kazi usiotia shaka. Magazeti haya yaliyojigeuza kua udaku kupambana na Mnyika ni sawa kupoteza muda tu.

Waandishi uchwara wamekaa vyumbani wamejifungia kufanya biashara ya kuchapa habari zisizokua na vyanzo vya kuaminika nao tutawaita ni wa hovyo tu.Ndio maana yule Msemaji wa JWTZ alisema watu wa aina hii ni wanataliwa kuadabishwa.

Labda umesahau, ni haya magazeti Ndiyo yalianza kufichua mpango wa EL kuhamia CDM na kuwa kuna mazungumzo ya kupewa ugombea wa Urais Kama sharti mojawapo... Mkaja hapa na story zenu za kukanusha mwisho mkaumbuka... Yakawa mstari wa mbele kuhusu ukimya wa Slaa na kwamba ameachia ukatibu mkuu.. Mkaja hapa na story kuwa anapimzika..Mkakakuumbuka.... Sasa hili la Mnyika Kama la Slaa ... Mnatoa povu hapa na kulishambulia gazeti wakati muhusika Mnyika yuko kimya.... Mtaumbuka tena muda siyo mrefu.... Kimya kingi kina mshindo mkuu.
 
Magazeti haya yaliyokaa kiudaku udaku na habari zake za kusadikika, yamekua yakimwandama sana Naibu katibu mkuu bara na Mbunge wa Chadema jimbo la Kibamba Mh Mnyika, sitaki kuamini kazi ya magazeti haya yamekua yakifanya propaganda chafu yakidhani yananufaika na habari hizo.

Hii ni kama chuki binafsi na wivu wa kipuuzi usiokua na maana kwa mtu ambaye taifa linamjua kwa uchapa kazi usiotia shaka. Magazeti haya yaliyojigeuza kua udaku kupambana na Mnyika ni sawa kupoteza muda tu.

Waandishi uchwara wamekaa vyumbani wamejifungia kufanya biashara ya kuchapa habari zisizokua na vyanzo vya kuaminika nao tutawaita ni wa hovyo tu.Ndio maana yule Msemaji wa JWTZ alisema watu wa aina hii ni wanataliwa kuadabishwa.
Hayo magazeti yanalazimisha kupata wanunuzi,kwani tangu uchaguzi upite yamesusiwa na sasa kwa kumuandama mnyika yanatafuta pakujishikia niyakupuuzwa
 
Back
Top Bottom