Gazeti la Rai Mwema na Dr. Magufuli

Gazeti la Rai Mwema na Dr. Magufuli

Toka habari ya Luhwavi na kumuhusisha yule wa K'ndoni na ID za JF,Zenda kapewa kibarua kwenda na wewe mguu kwa mguu.Akikamilisha kazi wanakuumbua...Maana kwa sasa ni almost over
He is dead and gone
 
Hahahahahahaaaaaaaa! Wameingia chaka! Wanadhani ni ile tabia ya Lowasa ya kuchota mabilioni kwa njia ya kifisadi

Walijua kachota mapesa ili akanunue mvua wapi kule hahahaaa
 
Hili gazeti leo limetoka na habari kuu katika ukurasa wa mbele inayosomeka:

"Namna Dr.Magufuli alivyochota mabilioni."

Ngoja nikatafute copy yangu ili nijue ni nini kimeandikwa kabla sijasema chochote hapa.
MAGAZETI MENGINE NI WIZI MTUPU!
Vichwa vya habari haviendani kabisa na yaliyomo, yaani inabidi waturuhusu kuwarudishia makaratasi yao ya kufungia maandazi, mara tunapong'amua, na mpunga wetu warudishe!
 
Walijua kachota mapesa ili akanunue mvua wapi kule hahahaaa
Huu ushabiki wa vitu msivyovijua mnautoa wapi! Hela ya akiba ukanunulie ndege? Unajua hiyo hela huwa inatengwa kwa ajili gani?
 
Hahahahahahaaaaaaaa! Wameingia chaka! Wanadhani ni ile tabia ya Lowasa ya kuchota mabilioni kwa njia ya kifisadi
magufuli fisadi hana chembe hata moja ya heshima ya fedha za umma ataingiliaje mfuko wa akiba anadhani BOT ni mali ya mama yake asituletee ufisadi wake wa nyumba asitujaribu hata kidogo hivi akiapishwa hakuna mtu anampa miiko huyo kaganda hamuoni huyu fisadi magufuli anavyoinigiza nchi kwenye umaskini
 
Huu ushabiki wa vitu msivyovijua mnautoa wapi! Hela ya akiba ukanunulie ndege? Unajua hiyo hela huwa inatengwa kwa ajili gani?
Ndio maana hataki wapinzania wapande majukwaani.
 
Huu ushabiki wa vitu msivyovijua mnautoa wapi! Hela ya akiba ukanunulie ndege? Unajua hiyo hela huwa inatengwa kwa ajili gani?
Haya tuambie wewe hela ya akiba hutengwa kwa ajili gani? Kwanza unajua hela ya akiba inatoka wapi?
 
Fanya hima tujuwe maana nipo kijijini hakuna magazeti

Mmmmmmmmh, Watanzania bwana, kwa habari za umbea hawajambo...yaani wewe unakimbilia habari hizo lakini siyo zile za kijiji chako chapata trekta, kwa mfano...yaani habari za trekta hazivutii, ila za umbea ....tehtehtehtehteh
 
Huu ushabiki wa vitu msivyovijua mnautoa wapi! Hela ya akiba ukanunulie ndege? Unajua hiyo hela huwa inatengwa kwa ajili gani?

Umeishasema hela ya akiba. Unaelewa maana ya Akiba? Au unajua akiba ni nini? Jifunze kuelewa
 
Hahahahahahaaaaaaaa! Wameingia chaka! Wanadhani ni ile tabia ya Lowasa ya kuchota mabilioni kwa njia ya kifisadi

sasa kwanini msimkamate? watoto watajifunza nini kwa mtu kuchota mabilioni ili hali hakamatwi?
 
Back
Top Bottom