Gazeti la Mwanaspoti: SIMBA yaweka rekodi mpya ya vipigo CAF

Gazeti la Mwanaspoti: SIMBA yaweka rekodi mpya ya vipigo CAF

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
GAZETI LA MWANASPOT

SIMBA YAWEKA REKODI MPYA YA VIPIGO CAF TANGU ......


HATA HIVYO WANACHAMA WAMESEMA WAFANYE WAFANYAVYO WAO WANAITAKA ROBO FINALI

😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 NAPITATU
 

Attachments

  • Screenshot_20260125-002744_Chrome.jpg
    Screenshot_20260125-002744_Chrome.jpg
    224.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260125-002657_Chrome.jpg
    Screenshot_20260125-002657_Chrome.jpg
    224.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260125-002642_Chrome.jpg
    Screenshot_20260125-002642_Chrome.jpg
    251.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260125-002618_Chrome.jpg
    Screenshot_20260125-002618_Chrome.jpg
    194.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260124-235329_Lite.jpg
    Screenshot_20260124-235329_Lite.jpg
    148.7 KB · Views: 7
Simba imechapwa leo nchini Tunisia, ikipoteza mchezo wake dhidi ya Espérance de Tunis kwa bao 1-0. Matokeo haya yanifanya Simba kuwa na mchezo mmoja tu uliopotea katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, na sasa ikishika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake. ¹ ²

Hii ni pamoja na kupoteza michezo mitatu mfululizo ya hatua ya makundi, ikiwa ni pamoja na mechi za awali dhidi ya Petro de Luanda na Stade Malien. Simba sasa inahitaji ushindi katika mechi zake zilizobaki ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu robo fainali.
 
hatimae sinbaa yasubiriaa miujizaaa

Eeeh sisi wananchama tushasema tunataka robofinal sio vnginevyo

Paramus hapooo 😆 😂 😆 😂 😆 😂
Mwenzio akinyolewa we tia maji
 

Attachments

  • Screenshot_20260125-003334_Chrome.jpg
    Screenshot_20260125-003334_Chrome.jpg
    259.6 KB · Views: 5
😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆


Mashabiki waoo wanavyopendaga rekodii

Nahisi na hii wataifurahiaaa majiranii recodi moyaa hiooo ndaga fijo na malolee na mapikpikkkk mweeee
 
Back
Top Bottom