Ktk hali ya kushangaza,nimekutana na habari ya kushangaza ktk gazeti la Mtanzania ambalo lilikuwa linampigia kampeni mzee kikwete,EL,RA,yani lile gazeti la kutetea ufisadi limesema ktk ukurasa wa kwanza na wa pili kuwa mbunge Zitto ni CCM.
Mwenye kopi atazame pale kulia kulikoripotiwa kuwa Zitto (CCM) ameibua ufisadi mpya. Limeripoti ivo wakati Zitto akiandamwa na wananchi kuwa hawamwelewi.
Je, ni harakati za kumgonganisha Mh. ZITTO na wananchi? Au ndo kujivua gamba uko kuamua kuanika dhamira yao? Ktk hili kama ni kweli bora wasivue gamba, wafunike pale palipoandikwa Zitto Kabwe (CCM), waondoe CCM na wamwombe Samahani Mbunge Zitto ndani ya masaa 24 kabla hasira zangu kupandwa %.
Haraka sana, ZITTO ni wa CHADEMA full stop!
Hivi nyinyi watoa mada mnakuwa mnakimbilia wapi mnapoandika? Zitto 'ameama' what is this? yaani hata kiswahili taabu. My point is: Tukiandika tuwe makini. Inaonyesha hata uwezo wako wa kufikiria. Jitahidi kusoma hata mara mbili au mara tatu uangalie grama..iwe kiingereza au kiswahili. Ni ushauri tuu wa Masanja.
Zito ni wa CHADEMA kwa ajili ya CHADEMA, ukimuona sehemu nyingine ujue anatafuta mambo yakusaidia kuokoa jahazi, nimjanja sana, wengine humdhania hivyo wakimuona katka harakati kama hizo, ukimuona yuko na watu wa ccm wala usihofu ila subiri uone baada ya hapo kombola atakalo toa, i trust a man. Umesikia walivyo muonea huruma mwl. CHADEMA Mbeya akasema amekimbilia ccm chama ambacho kaelekea kufa.
Hivi nyinyi watoa mada mnakuwa mnakimbilia wapi mnapoandika? Zitto 'ameama' what is this? yaani hata kiswahili taabu. My point is: Tukiandika tuwe makini. Inaonyesha hata uwezo wako wa kufikiria. Jitahidi kusoma hata mara mbili au mara tatu uangalie grama..iwe kiingereza au kiswahili. Ni ushauri tuu wa Masanja.
Ushauri kwa Mh Zitto:
Kwa vile siasa mara nyingi haina formula, na pia ni mchezo wa chess ambapo hisia hutawala hata facts. Naona kama kweli ni perception ya watu imemfanya aonekane popo au kama ni matendo yake yalisababisha na kupelekea kuwepo kwa tafsiri hasi dhidi yake basi ni wakati sasa asimame na kufanya & kuongea; si tu kudhirisha kwamba ni Chadema bali pia ionekane (kwa ushawishi) kuwa hivyo.
Hakuna mahakama wala gamba linaloweza kumrudishia heshima na mvuto, ni yeye mwenyewe Zitto kurudi na kufanya basics.
Gazeti liko sahihi.zitto ni ccm indirectly!
yapo madhara mengi ya kukimbia shule,sasa hapa naanza kuelewa na mapya kama yako! Ivi sentensi uliyosoma ya 'ameama'...je haina alama zozote za kuashiria mtazamo wa mtoa mada mfano !, au ? Au full stop? Unajua itabidi tuwe tunaweka na note: ya kusema ni kiswahili cha nchi gani kenya,kongo, somalia au rwanda au wapi. Ebu some tena uelewe.
Gazeti la mtanzania ni kigeugeu...sijui akinani wananunuaga.
sio "Ivi" nadhani ni "Hivi" jamani kiswahili hamna anayekimiliki kama Kampuni ya Dowans. Tehe! Tehe! Teheeee!yapo madhara mengi ya kukimbia shule,sasa hapa naanza kuelewa na mapya kama yako! Ivi sentensi uliyosoma ya 'ameama'...je haina alama zozote za kuashiria mtazamo wa mtoa mada mfano !, au ? Au full stop? Unajua itabidi tuwe tunaweka na note: ya kusema ni kiswahili cha nchi gani kenya,kongo, somalia au rwanda au wapi. Ebu some tena uelewe.