Adui wa Mtanzania ni Mbunge wa CCM !

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,111
2,748
Hawa ndio wanaopitisha miswada kandamizi. Ni hawa ndio vinara wa rushwa. Ni hawa ndio vinara wa ufisadi. Leo tunalia kodi, tunalia sharia za mtandao ambayo inaruhusu yeyote anayempinga rais kukamatwa na kupewa mashtaka ya kichochezji.

Leo Mbunge wa CCM anapelekewa muswada kandamizi ya vyombo vya habari. Sina shaka, huu mswada utapita bila kupingwa

Ni mbunge wa CCM ndiye anayediriki kuomba sanamu ya rais akipiga pushup ijengwe, huku wananchi wake hawana hata chakula. Nadhani ni muda wananchi tukaamka tupambane na hawa wabunge wa CCM. vinginevyo tutajikuta Tanzania inageuka kuwa jehanamu.
 
Kuelimika kunachukua muda na ndio maana inatakiwa miaka saba kwa primary tu. Naamini wengi wataelewa hoja yako japo wamechukua muda mrefu na labda hawatasubiri hata hiyo 2020!
 
Mmh?? Kuanzia lini tena?? Nakumbuka tulioambiwa adui yetu namba moja alikuwa ni UFISADI tena Na fisadi kuu likajiuzuru cheo chake kikubwa tu!!
Baadae wale wale waliotuaminisha kwamba adui yetu ni UFISADI Na mafisadi wamebadilika, sasa wanatuambia adui yetu sio ufisadi Na Mafisadi tena, adui yetu ni udikteta!
 
Hawa ndio wanaopitisha miswada kandamizi. Ni hawa ndio vinara wa rushwa. Ni hawa ndio vinara wa ufisadi. Leo tunalia kodi, tunalia sharia za mtandao ambayo inaruhusu yeyote anayempinga rais kukamatwa na kupewa mashtaka ya kichochezji.

Leo Mbunge wa CCM anapelekewa muswada kandamizi ya vyombo vya habari. Sina shaka, huu mswada utapita bila kupingwa

Ni mbunge wa CCM ndiye anayediriki kuomba sanamu ya rais akipiga pushup ijengwe, huku wananchi wake hawana hata chakula. Nadhani ni muda wananchi tukaamka tupambane na hawa wabunge wa CCM. vinginevyo tutajikuta Tanzania inageuka kuwa jehanamu.
Kila kitu ndiyoooooo,, bila kuhoji
 
Nilishawahi kusema nchi inaongozwa kimazoea mazoea, wabunge wote wa ccm hawana akili huyo ndio ukweli. Hawajitambui pindi wanapokuwa bungeni wao wanatetea maslai ya chama chao na sio maslai ya nchi. Hiki chama ni janga la taifa kama ningekuwa na uwezo wa kukifuta ningekifutilia mbali. Wote waliopo kwenye hicho chama ni walarushwa huyu mpiga push up ndio aliyeuza nyumba zetu za serikali eti sasa hivi ndio anauchungu na nchi. Tanzania ni nchi ya maajabu kweli
 
Cku wanainchi wakuwa na ujasili wa kupambana na vyombo vya dola, huo ndo utakuwa mwisho wa utawala dhalimu wa CCM.
 
Tatizo hatuchukui hatua,tunaishia kulalama tu,lazima watu watoe sadaka zao,kama yesu alivyomwaga damu msalabani
Umeona heee! Siku watu wanapindua matokeo linatokea ambush wanakufa wananchi kadhaa na maaskari kadhaa heshima itakuja na ndo muarobaini wa huu ujinga.
 
Hawa ndio wanaopitisha miswada kandamizi. Ni hawa ndio vinara wa rushwa. Ni hawa ndio vinara wa ufisadi. Leo tunalia kodi, tunalia sharia za mtandao ambayo inaruhusu yeyote anayempinga rais kukamatwa na kupewa mashtaka ya kichochezji.

Leo Mbunge wa CCM anapelekewa muswada kandamizi ya vyombo vya habari. Sina shaka, huu mswada utapita bila kupingwa

Ni mbunge wa CCM ndiye anayediriki kuomba sanamu ya rais akipiga pushup ijengwe, huku wananchi wake hawana hata chakula. Nadhani ni muda wananchi tukaamka tupambane na hawa wabunge wa CCM. vinginevyo tutajikuta Tanzania inageuka kuwa jehanamu.

Tatizo watu mnawategemea mno wanasiasa, ndio sababu mnaitwa malofa maana mmekabidhi maisha yenu kwa wanasiasa.
 
Haya yote yanayosemwa dawa ni katiba mpya na hiyo haipatikani kwa kukenua meno mithili ya mbwa aliyekufa wala kwa kuweka mikono nyuma au kuinamisha vichwa wala kusujudu.mkakati unahitajika ili kupata katiba mpya itakayoondoa haya yote..mfano mzuri ni kenya walotumia njia ya kipekee kupata katiba yao.hawa waliopo hawana habari na katiba mpya na ndo mana husikii hata wamaizungumzia kwa sababu ndipo kaburi lao lilipo.wake up now tz
 
adui ni sisi wenyewe..tusimame tudai katiba mpya kwa hii iliyopo hawa mafisadi wataendele kutunyanyasa nakujifanya wanaleta mabadiliko ya vitishio.......
 
Nasema hivi toka nimezaliwa, sijawahi kuishi maisha ya watu, au kushuhudia wananchi wa Tanzania wakilalamika maisha magumu kama wakati huu wa JPM.

Nimeishi vipindi vya maraisi wote, nikiwa na akili timamu
 
Wabunge wa CCM na wasomi wa Tanzania wanaendekeza njaa na sio kuwatumikia watanzani
 
Kama vile bunge mubashara lilivyopigwa marufuku na huu muswada utapita tu.Watu wafanye kazi tu
 
Ndio hao pia waliopitisha mswada wa fao la kujitoa.....issue ni kuwa akili zao hazina uwezo wa kuchambua mambo.
 
Back
Top Bottom