Gazeti la Mbowe TANZANIA DAIMA

Inamaana wewe usipolisoma ndo limekosa wateja?

Kwa mtindo huu wa kukejeli hoja hamuwasaidii wenye gazeti hili. Ukweli ni kwamba Tanzania Daima na Uhuru yanafanya kazi inayofanana. Gazeti hili lina historia nzuri sana ambayo sasa inapotezwa na watu waliokosa umakini ambao wanadhani kutekeleza matakwa ya mmiliki ni kumsaidia, kumbe ni kumwangamiza. Ni vigumu kujua habari ipi ni ya ukweli unaposoma gazeti hili, hasa linapozungumzia habari za siasa ambazo ndizo zinavutia usomaji wa wanunuzi wengi.
 
Back
Top Bottom