Gazeti la mawio tarehe 13 augost 2015

Gazeti la mawio tarehe 13 augost 2015

chaikavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
760
Reaction score
473
Tafuteni msome kuna tuhuma za warioba na kampuni yake

nimeichapa na kuweka uzi humu umeondolewa fasta fasta
 
hayo magazeti hatuyaamini tena kwani watu waliokuwa wakiwaandika mafisadi pamoja na kutoa vielelezo leo wanatuambia hawakuwa mafisadi bali ni mfumo yamejishushia heshima
 
Mkuu iweke upya kama mchangiaji Au jifanye una ni qoute hivi kumbe ndio unadondosha mchuzi mzima.
 
hayo magazeti hatuyaamini tena kwani watu waliokuwa wakiwaandika mafisadi pamoja na kutoa vielelezo leo wanatuambia hawakuwa mafisadi bali ni mfumo yamejishushia heshima
kwa
hiyo unataka kutuambia kwamba magazeti ndio yanachukulia wezi hatua sio serikali? Mbona escrow mlikataa baada ya kubinywa mavi mkasema ni kweli?

Kwani mkuu wale wa escrow mliwapeleka mahakamani?

Nchi ya vibaka wavaa suti na kutembelea mashangingi. Lini fisadi alipewa uwaziri mkuu,ubunge,waziri wa ardhi, waziri wa maji,m/kiti wa kamati ya ulinzi ya bunge?
 
Uko sawa sana.Siku hizi yanadoda hakuna wa kununua.Mawio linachina kwa wauza magazeti mpaka Jumapili unalikuta.Watanzania wamegundua kumbe hawa nao ni mafisadi tu sema hawajapata fursa.Tena ni wanafiki na wana mambo ya ukanda.Chuki binafsi na wivu wa kike vinawasumbua
 
kwa
hiyo unataka kutuambia kwamba magazeti ndio yanachukulia wezi hatua sio serikali? Mbona escrow mlikataa baada ya kubinywa mavi mkasema ni kweli?

Kwani mkuu wale wa escrow mliwapeleka mahakamani?

Nchi ya vibaka wavaa suti na kutembelea mashangingi. Lini fisadi alipewa uwaziri mkuu,ubunge,waziri wa ardhi, waziri wa maji,m/kiti wa kamati ya ulinzi ya bunge?
hayo maswali waulize mwanahalisi na mawio ambao ndio walikuwa wanatuandikia na kuonyesha nyaraka za ufisadi halafu waulize ni mahakama ipi iliwasafisha hao mafisadi kwa kifupi nao ni watafutaji wa fursa kwani wameweza kununulia sasa hivi hata bure gazeti lao sisomi kwani ni wababaishaji
 
I can see type ya watu mliojazana huko kwa hiyo naomba tuishie hapo. maana kama huelewi umeulizwa swali ni shida.
dont reply
 
Back
Top Bottom