TATIZO HUJALIONA, lOL, NDIO watetezi wake hawa, kizazi cha watu hafifu kufikiri.
Amekiri kuwa yeye na Mashekhe walizunguka kusaidia Bwana mkubwa ambae leo wanamlaumu amewasaliti...huoni tatizo la siasa za misikitini, Ujinga wa kiwango cha juu huu
Ila wewe unakubali siasa za makanisani? Huu ni ujinga wa kiwango cha chini ee? Kweli nyani haoni......!