johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
Ubelgiji!Dunia yako inaishia wapi? Au pale Lumumba?
Ubelgiji!Dunia yako inaishia wapi? Au pale Lumumba?
Mkuu kutambulika si hoja,hoja ni kwamba unatambulika kwa mambo gani? Je ni kwa hii misimamo ya kijinga na isiyo na tija si kwake binafsi wala taifa lakeDunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Corona ni mchezo wa watu wa Dunia ya kwanza kuendelea kuwa juu!!
Vita ya Corona si yetu, Bali ni Yao wakijaribu kushindana na Mungu!!
Hapa Sisi ni watazamaji tukiendelea kupiga kazi kama kawaida
Umepotea njia, dunia nzima wanapinga chanjo hiziMkuu kutambulika si hoja,hoja ni kwamba unatambulika kwa mambo gani? Je ni kwa hii misimamo ya kijinga na isiyo na tija si kwake binafsi wala taifa lake
Rudi ilula ukageme ulanzi na kulima nyanya utunze familia ili ikukumbuke siku za mbeleni! Mmebaki wachache Sana humu msioamini kuwa ofisi za magu zimejaa na hahitaji kuteua Tena!Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!