Gazeti la "kutoka arusha!"

Gazeti la "kutoka arusha!"

sawa kamanda.......
hivi kiongozi.....Ayumi alipatikana.....? nimekuwa na wasi wasi sana juu yake......

Hahahaaaaaaaaa! Mjomba Ayumi hakupatikana, nawasiwasi na Shemeji zake na PakaJimmy, manake nasikia walipita pita maeneo siku hiyo!
Si unajua ndugu zangu kutoka njombe, ludewa nk.?
 
Last edited by a moderator:
Nimelitafuta online wala sijalipata, inawezekana watakuwa wanajipanga kwa vile wameanza muda si mrefu!!!
 
ARUSHA the source of tz popularity,keep it up my mother land
 
Kwa hivyo Arush ain magazeti mawili sasa.

Hakuna kitu kinarudisha Mwanza nyuma kama kutokuwa na gazeti hata moja. City gani bila gazeti? Hazipandi?
 
Back
Top Bottom