Gazeti la Kulikoni litarudi mitaani au la?

Gazeti la Kulikoni litarudi mitaani au la?

GM7

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
492
Reaction score
24
Helo wanaJf,

Nakumbuka gazeti hili lilifungiwa miezi mitatu toka January 11 kama sikosei ambapo miezi mitatu imeshapita. Je kuna habari zoztote kuhusu gazeti hili kurudi mitaani au ndio halitarudi tena?
 
This is just my thinking aloud, kwa vile the owner is too proud to be defited, ameamua kulisusa na kuliabandon jumla ili kuionyesha serikali, Kulikoni is not a big deal.
Kwa mtazamo wangu, Media Solution iko ICU kwenye deathbed ikipumulia mashine. Mafisadi wamethibisha tena wao ni zaidi. This Day litaunganishwa na The Guardian staff wote watarudi kule, Mzee atabuni biashara nyingine.
 
Back
Top Bottom