Credible Viewer
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 444
- 118
Poa sana mwandishi kuleta hii mada!
Usijeshangaa lile jukwaa likaja na tamko la kuwazuia waumini wake wasiipigie kura UKAWA!
Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa
Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe
Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa
Mkuu The Boss, nimeipenda objectivity yako kwenye hili!.Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa
Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe
Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa
Yaani Mchungaji Msigwa kuifananisha Chadema na Kanisa ni mfano tu lakini Al-Huda wao kuhoji wapo kibiashara daah!!Alitoa mfano tu kwani si ndio profession yake? Hiyo ni metaphor na sio simile, hao Al-huda watakua kibiashara tupu kucatch attention za watu