Gazeti Botswana lalia na Mbeki kuhusu Kikwete

Gazeti Botswana lalia na Mbeki kuhusu Kikwete

Bora AU presidency ni kama ceremonial leadership nothing serious and as long as AU is like dictatorship academy i will not be surprised.
 
Kwani kwenye hiyo miaka 41 amefanya nn ambacho wewe na yule mtashindwa kukifanya? Sijaona muujiza wowote ktk uongozi wake.
Muujiza Mkubwa ni huu!
Edward Lowassa, Kingunge Ngombale Mwiru, Samwel Sitta, Hamis Mgeja, Rostam Aziz, Nazir Karamagi walikuwa na Furaha sana siku Jakaya anakabidhiwa Uenyekt na hawakufikiria kuwa hawatakuwepo na watakuwa na uadui na Jk siku anarudisha kijiti cha Uenyekiti
 
Back
Top Bottom