pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,249
Mkuu kumbuka haya walianza wenyewe1Waislam tumetakiwa kipindi cha swaumu kuzidisha dua kwa ndugu wa Palestina
Mwana kuli-find mwana kuli-get
Mkuu kumbuka haya walianza wenyewe1Waislam tumetakiwa kipindi cha swaumu kuzidisha dua kwa ndugu wa Palestina
Hadithi nzuri sana hii.Muda mrefu Myahudi alikua anataka kuchimba mafuta na gesi iliyopo Gaza lakini Hamas walikua wanawakazia.
Wakaplan false flag terror ya 7october wakaua raia wao kwa kutumia Apache helicopter ili wapate kisingizio cha kufanya Genocide, wawafukuze wapalestina na kuikalia Gaza kwa nguvu ili wawapore mafuta na gesi yao.
Hapo Marekani haji kujenga bandari bali wanakuja kuchimba visima vya gesi.
Wazungu linapokuja suala la maslahi yao hua hawana cha haki za binaadamu wala sheria za kimataifa.
Hivi kuna msomi ambaye anaweza kusema tuweke vyeti hapa !!!Tuweke vyeti hapa? Mimi nimesoma hata familia yako muunganishwe hamjanifikia
Wewe moga umeunga umeunga.Hivi kuna msomi ambaye anaweza kusema tuweke vyeti hapa !!!
Haya ndiyo madhara ya Elimu Ahera. Mtu kama Professor Assad ndiyo unaweza kusema anajielewa, ila the rest ni majanga kwa Taifa na dunia kwa ujumla. Eti unaambiwa ukifa utapewa mabikra 72 na wewe unaamini, mara unampigania Allah ambaye ana nguvu zote na wewe unafanya hivyo. Kaa tafakari kwa haya machache then fanya tathimin. But no offense intended
NAKAZIAHiki ndio kipindi huwa mnalipuka kwa mabomu sana, ndio dini inayosumbua dunia kwa chuki mkifuata maagizo ya kitabu kilichoandikwa na muarabu kule jangwani, maagizo ambayo hata yeye yaimshinda akaishia kugegeda katoto ka miaka 9.
Vizuri sana Israel kujenga barabara na Marekani kuanza jitihada za kujenga bandari, hiyo Gaza ikaliwe na wapenda amani, wawatie mimba hao Wapalestina wazaliane kizazi kipya kisicho na uzombi wa hiyo dini.
Unaamini katika hayo maigizo?Waislam tumetakiwa kipindi cha swaumu kuzidisha dua kwa ndugu wa Palestina
nana atalipa gharama za vita alizotumia Israel ? ikumbukwe Israel hakutaka vita ila Hamas wameileta vita , so ardhi ya wapalestina itakuwa fidiaHuko Gaza vita vinaendelea, ila kuna jambo limefanywa na Israel hivi karibuni na lingine linataka kufanywa na US muda si mrefu, ambayo yanatafakarisha sana kuhusu mustakabali wa Wapalestina kuishi tena Gaza hata baada ya vita.
1. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limemaliza kujenga barabara mpya inayopita kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi, kulingana na picha za satelaiti zilizothibitishwa na BBC.
2. Meli ya kivita ya Marekani inaelekea Gaza ikiwa na vifaa vya ujenzi ambapo wanaenda kujenga bandari ya muda kwa ajili ya kupitishia mahitaji ya kibinadamu kwa waathiriwa wa vita huko Gaza.
Vyanzo vyote vya habari ni BBC Swahili.
Hisia (Kweli au Si kweli)
1. Je, Israel ina mpango wa kuikalia Gaza moja kwa moja hata baada ya vita kama ambavyo ilikuwa inahisiwa japo Israel alikuwa akikanusha?
NB
Marekani ni bingwa wa propaganda, hivyo kuanza kuonekana tena Gaza akijenga bandari basi kuna kitu kitatokea.
Marekani mara nyingi kile anachokisema siyo kile anachokitenda, na anachokitenda siyo kile anachokisema.
wenyewe hawatak amani hizo dua zitapitia wap ?Waislam tumetakiwa kipindi cha swaumu kuzidisha dua kwa ndugu wa Palestina
Hata lile sakata la Osama lilikuwa geresha tu, jamaa mbele ya maslahi hawanaga mzaha.Muda mrefu Myahudi alikua anataka kuchimba mafuta na gesi iliyopo Gaza lakini Hamas walikua wanawakazia.
Wakaplan false flag terror ya 7october wakaua raia wao kwa kutumia Apache helicopter ili wapate kisingizio cha kufanya Genocide, wawafukuze wapalestina na kuikalia Gaza kwa nguvu ili wawapore mafuta na gesi yao.
Hapo Marekani haji kujenga bandari bali wanakuja kuchimba visima vya gesi.
Wazungu linapokuja suala la maslahi yao hua hawana cha haki za binaadamu wala sheria za kimataifa.
Na mito ya pombe.Mhuuu ila kuamini dini ya Kislamu na kufata mafundisho yake inatakiwa ujitoe akili kweli kweli au uwe mbumbumbu hasa, ndiyo maana wao wako duniani lakini haitaki elimu ya hapa wanataka elimu ya ahera na wamehaidiwa mabikra 72
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2