PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,786
- 26,190
Kuna wale Masheikhe walipokuea wanatunzwa ndani mlifanya kitu gani?Kwa akili hizi ccm atawala mpaka kiama
Kuna wale Masheikhe walipokuea wanatunzwa ndani mlifanya kitu gani?Kwa akili hizi ccm atawala mpaka kiama
sure,Kwa nini yeye hakai Gaza? huyu ni walking dead.
Wote waliohusuka na ugaidi uliofanywa Israel ni walking dead, hiyo ndio kauli ya Netanyahu na anatembea nayo.

Mkuki kwa nguruwe ! Kwa binadamu mchungu !?? 😅Hata Mbowe aliitwa gaidi na wewe mahakamani ulikuwa hutoki kulia lia
Leo amepewa salaam tu za Eid lakini kichwa chake ndio kinatakiwa na ni swala la muda tu, mwaka huu hatobowi Kwa ninavyowajuwa Mossad.sure,
mzee I. HANIYAH anaweweseka mno, kujiamini kumemuishia kabisa hata huko anakodhani yuko safe, nadhani anakua anahisi kivuli cha Netanyahu kinamfuata . ana majuto makali sana![]()
sasa yeye ana shida gani wakati ana wake rundo, vimada rundo, watoto rundo, anawaeleza waende vitani, ila yeye amejificha kwenye kasri la kitajiri Qatar, na account zake benki zimejaa. anataka watu wengine hata watoto wake wawe marty ila yeye anajificha kukimbia kifo kwa uwezo wake wote.⚡Ismail Haniyeh to Al Jazeera: The enemy is delusional if he thinks that by killing my sons we will change our positions.
Haniyeh: "Nearly 60 members of my family have already become martyrs, there is no difference between them for the Palestinian people."
Ismail Haniyeh to Al Jazeera: We will not hesitate, we will not retreat, and we will continue on our way to liberate Jerusalem and Al-Aqsa.
Kwa muislam mwisho 4. Mkiristo haoi au 1. Lkn mfumo wao sasa umebadilika. Mitaani siku hizi wakiristo wanawake zaidi ya 1. Uislam ndio dini pekee ilioweka mfumo mzuri wa ndoasasa yeye ana shida gani wakati ana wake rundo, vimada rundo, watoto rundo, anawaeleza waende vitani, ila yeye amejificha kwenye kasri la kitajiri Qatar, na account zake benki zimejaa. anataka watu wengine hata watoto wake wawe marty ila yeye anajificha kukimbia kifo kwa uwezo wake wote.
Kwa kiapo alichoapa Netanyahu huyo hatobowi, hata Leo yenyewe ametupa audio clip tu hakuna video.sasa yeye ana shida gani wakati ana wake rundo, vimada rundo, watoto rundo, anawaeleza waende vitani, ila yeye amejificha kwenye kasri la kitajiri Qatar, na account zake benki zimejaa. anataka watu wengine hata watoto wake wawe marty ila yeye anajificha kukimbia kifo kwa uwezo wake wote.
ukioa wake wanne, ndani ya miaka 5 umewaacha, ukaoa wengine 4, ukafanya hivyo mara 4 kwenye maisha yako, hapo si umeshakuwa na wake 20? na watoto kibao.Kwa muislam mwisho 4. Mkiristo haoi au 1. Lkn mfumo wao sasa umebadilika. Mitaani siku hizi wakiristo wanawake zaidi ya 1. Uislam ndio dini pekee ilioweka mfumo mzuri wa ndoa
Hapa nakubaliana na wewe unapoandika hoja ya kweli na ya msingi.Kwa muislam mwisho 4. Mkiristo haoi au 1. Lkn mfumo wao sasa umebadilika. Mitaani siku hizi wakiristo wanawake zaidi ya 1. Uislam ndio dini pekee ilioweka mfumo mzuri wa ndoa
Halafu wajiulize Israel inajuwaje kama hiyo gari ilibeba familia yake?Huyu na mwenzake Sinwar ni suala la muda tu kama ilivyo kwa watangulizi wao watawala vichwa ila changamoto ni kwamba watakuja wengine
Ndoto za mchana hizo:muoga kichizi huyu mzee, ana bwekabweka tu, na watu wanaisha huko ghaza![]()
Netanyahu ameshatuma Salaam za Eid Mubarak Kwa Haniya, wewe endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Wakristu ni watu wenye mapenzi na huruma kwa binaadam wenzaoLeo amepewa salaam tu za Eid lakini kichwa chake ndio kinatakiwa na ni swala la muda tu, mwaka huu hatobowi Kwa ninavyowajuwa Mossad.
war techniq

namwombea kwa Mungu asiuawe, pengine kuna siku atamkiri Yesu Kristo awe mwokozi wake ili aiepuke ile jehanum ya moto wa milele. na ninyi nyote pia mliosoma hapa.Nadhani hiki ni moja ya vichwa vilivyobaki vya Hamas!
Sasa CCM inahusikaje au ni sawa kiongozi wa kuongoza jeshi yeye akiwa hotel ya nyota Tano?Kwa akili hizi ccm atawala mpaka kiama
Hizi comment zenu na akili zenu za kitoto halafu mnapigania kuiondoa ccm madarakaniSasa CCM inahusikaje au ni sawa kiongozi wa kuongoza jeshi yeye akiwa hotel ya nyota Tano?