SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Soma haya mambo ya wazungu, kisha tafakari. Mola aepushe mbali yasitufike huku kwa kiwango hicho!
are you interested? I have a good adress if you want... lol... just kiddinghovyooooooooooo.
Hivi wana style ngapi za kubanjuana?
hovyooooooooooo.
Hivi wana style ngapi za kubanjuana?
are you interested? I have a good adress if you want... lol... just kidding
Hii ndio Democracy na Freedom tunayotakiwa kufuata ili tuwe wastaarabu kama nchi ziliondeleanaskia nyu yok wamepitisha leo...
so now we call @Gay-york.usa
Tubuni wapendwa....Yesu yu aja.
LMFAO......huyo Yesu mmefundishwa na wazungu hao hao leo mnajifanya mnamjua kuliko wao,story za Yesu kwa wazungu wengi hazina maana tena church zimejaa wazee tuu wasio na kazi za kufanya!