The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,445
- 20,822
Mkuu huna hata aibu, umecalculate thamani ya hisa zako against capital? profit unaijua?nakushauri uza hisa wekeza hata kwenye kubet, huko hakukufai kama hujui jiyo ni game, jifunze kucheza game za hisa ujue kuuza na kununua kwa muda muafaka...we hisa hazizidi hata milioni kumi zinakutoa roho wakat kuna watu ikidrop cents wanaeza ku file kufilisika. Nakushauri Bet kiutu uzima unaweka milioni unavuna laki 3 ndani ya dak 90
zinaongopa kwa wateja wao. Bank inayotoa hisa kubwa ni exim bank na wenyewe 8%.