M Maffada Member Joined Dec 6, 2019 Posts 63 Reaction score 72 Aug 29, 2025 #1 Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
Izy_Name JF-Expert Member Joined Apr 9, 2020 Posts 1,061 Reaction score 2,552 Sep 8, 2025 #2 Hii ni moto sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,601 Sep 8, 2025 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw