Gauni/Shera ya harusi inauzwa

Gauni/Shera ya harusi inauzwa

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Habari!
Mke wangu anauza gauni/shera yake ya harusi. Mwenye uhitaji aniPM namba kwa picha za WhatsApp.

Asanteni.
 
Kwa kukusaidia tu ungeweka size ya gauni, rangi, urefu na kama kuna designer name pia. Au mnaweza kupima kifua na kiuno na ukasema ni style gani. Google itakusaidia kujua hizo info.

Hongera kwa kuwowa
 
Kwa kukusaidia tu ungeweka size ya gauni, rangi, urefu na kama kuna designer name pia. Au mnaweza kupima kifua na kiuno na ukasema ni style gani. Google itakusaidia kujua hizo info.

Hongera kwa kuwowa

Best huna mpango wa kuolewa kwani?
 
Back
Top Bottom