Gatlin banned

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,157
971
Gatlin banned for using drugs in 2006 test.

The 100m Olympic Champion Justin Gatlin has been banned for 4 years. It seems all athletics are using drugs, who will survive?
 
Gatlin banned for using drugs in 2006 test.

The 100m Olympic Champion Justin Gatlin has been banned for 4 years. It seems all athletics are using drugs, who will survive?

Hii inasikitisha sana na ni aibu! Kumbe wote wanajigeuza maroboti ili wajenge majina kwa gharama ya wanamichezo wengine wanaotumia ugali.
 
Wacha wamfungie, ili iwe fundisho kwa wengine. Pia waafrika wanaweza kuambulia nao kidogo, esp wa west afrika na mbio zao fupi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom