Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) ....Tiba yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) ....Tiba yake

Discussion in 'JF Doctor' started by queenkami, Jun 7, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wakubwa ninasumbuliwa na huu ugonjwa.
  Nimeshakwenda hospitali wakanipa Omeprazole(PPI).
  Mara ya kwanza nilidhani Omeprazole itatibu kabisa uishe ila baada ya kuwahoji madaktari na kufanya research binafsi nimefahamu kwamba huu ugonjwa hauna tiba ya kuumaliza kabisa.
  Madaktari wanashauri nibadlishe life style ikiwa ni kuepuka physical and psychological stress,kuepuka baadhi ya vyakula na kula masaa mawili au limoja kabla ya kulala na mengine.

  Pia kuna operesheni inayoitwa Nissen sugery ambayo inadaiwa ndiyo inayoweza kumaliza huu ugonjwa kabisa lakini kuna side effects zake.

  Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wenye kufahamu tiba za kienyeji za huu ugonjwa wanisaidie. MiziziMkavu
  na wengine mnaojua tiba za kienyeji naombeni mnisaidie maana sitaki kufanyiwa operesheni.

  Huu ugonjwa sio wa kumlaza mtu kitandani ila umeniathiri sana kiakili maana mimi ni kiongozi wa praise and worship kanisani kwetu ila acid kutoka tumboni zimeua kabisa sauti yangu,siwezi tena kuimba,na mimi maisha bila kuimba kanisani nayaona hayana furaha.

  Natanguliza shukrani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,267
  Likes Received: 8,329
  Trophy Points: 280
  mmh acha waje wenyewe.hiyo title tuu inanipa homa.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Binafsi nadhani you should not consider this a disease, take it more like a reaction of your digestive system to the food you eat and the negative emotions you have. Change your diet to fit the sensitivity of your stomach and your esophagus. Some of the things you could do are
  • eating small but frequent meals
  • prefere fruits like banana or mangoes to oranges or grapefruits (citrus in general) as they contain more acid
  • reduce the quantity of oil/fat you eat
  • reduce your alcohol and soda consumption
  • Drink more water (small quantities at a time to avoid nausea)
  • Manage your stress (kuna njia nyingi, mojawapo ikiwa meditation)
  • Try not to give negative emotion (and people) too much space in your life
  Usifanye hiyo suggery. Many people I know (most of them young girls) live with this 'disease' and they have a normal life. Mwanzo wote ni mgumu, kwa sasa utaona kama kero kubwa but with time utazowea. When you are in a "crisis", the more you feel sorry for yourself the worse it gets. Ukiwa katika maumivu jaribu ku-relax. You will be fine. Hata ambao hawana hiyo 'disease' wanalazimika kubadili life style, so just take it as an added motivation to live healthier and happier. Good luck! :)
   
 4. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Q, mimi pia nina tatizo hilo, Kabla sijajua ni nini nilifikiri nina kitu kinaota kooni...nipata shida sana. Nashukuru nilionana na Dr. mzuri sana alinieleza kwa mapana yake na umuhimu wa kufuata masharti. Usishindane nao, utaumia zaidi. In fact alinieleza zamani watu wenye tatizo hilo walitibiwa kama watu wenye matatizo ya akili kwa vile ilikuwa haieleweki ni nini. Wengi walipata depression, na walijitenga sana na wengine. Ni kwa vile ni kitu kinakera na huwezi kumweleza mtu akakuelewa.

  Tangu wakati huo nimekuwa makini sana na vyakula na ni muhimu kuhakikisha unalala kichwa kimenyenyuka kidogo..mto mzuri. muhimu zaidi usiifikirie sana hiyo hali,
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  nimepapenda hapo zaidi, kanisa gani, nije kusali hapo one day? Kuhusu ugonjwa, pole sana na Mungu akuponye kwa nguvu zake takatifu.
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Asante sana mpendwa wangu kwa ushauri.
  Life style nimebadili na ninajua vitu vyote ambavyo sipaswi kula na ambavyo ni vizuri kwangu kula.
  Mimi naona kama huu ni ugonjwa wa kweli na sio reaction ya chakula tu maana kuna kijinyama fulani hivi (lower esophageal sphincter) ambacho hutumika kama lock ya kuzuia chakula au acid iliyoko tumboni isipande kurudi mdomoni kinakua kimelegea hivyo kuruhusu chakula na acid kuleak na kurudi mdomoni.

  Tokea nibadili lifestyle hata viungulia vimepungua kwa kiasi kikubwa ila ninaugua kisaikolojia zaidi sababu imeua sauti yangu.Labda watu watanishangaa kwa kukosa furaha kwa kwa sababu tu sauti imekufa lakini uimbaji ni sehemu ya maisha yangu,it means a lot to me siwezi kuelezea zaidi ila kama nitapata tiba nipone kabisa sauti irudi maisha yangu yatakua na furaha tena.
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nimependa huu ushauri sana. Siku hizi tunakufa sana binadamu kutokana na kuwaza mambo mengine ambayo wakti mwingine hata hayapo kwenye maisha yetu. I will apply this as well
   
 8. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yaani wewe kweli umenielewa,yaani mwanzoni kabla sijaujua nilikua sijielewi ni nini maana inakua kama umekula kiazi kikakwamia kooni hivi,nakumbuka nilikua nikimwelezea mama yangu ananiambia kunywa maji kitashuka lol.
  Mimi daktari wangu ameniambia pia kama wewe kuhusu kunyanyua kitanda upande wa kichwani na pia niwe nalalia upande wa kushoto ndio hiyo acid haitaweza kurudi mdomoni.

  Asante kwa ushauri.
  Ila wewe unaendeleaje kwa sasa?
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana dear, I did not mean to say that sio ugonjwa serious. What I actally meant (but failed to express) is: don't take it as a disease. usiipe nafasi kubwa, na usifikirie kuchukua radical measures.
  Now, I gave that advice befor I knew that there were other implications than just the reflux alone. Kama kweli unahitaji mambo kurudi kama zamani basi go for the suggery, but make sure you see a good ORL before, wasije wakaharibu zaidi.
  Maybe you should also consider giving up on singing. there is only so much you can do in a lifetime, and if you fix your attention on something you cannot have, you will miss the multitude of other possibilities. I really hope you will be able to sing again, but if sh*t hits the fan you can always rap (just kidding :madgrin: )
   
 10. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Amina.
  Ni nini kilichokuvutia hapo zaidi?
  Kwani kanisani kwenu hakuna praise and worship leader hadi utake kuja kwetu?
  Kama unataka kuja kusikiliza mahubiri karibu na uwakaribishe na wengine wengi waje wale neno.
   
 11. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Asante sana kwa ufafanuzi na ushauri dear.
  hapo pekundu itakua my worst nightmare ila nahisi kama hivyo ndivyo inavyoelekea kuwa hali halisi ...machozi yananilenga lenga...)

  hapo pa zambarau hahaahaa sipati picha siku nikianza yoyoo meeein Jesus is da loard u know waramsein yall..lol.
  Anyway mimi nimepoteza sauti,kuna waliopoteza miguu na mikono kwa cancer na ajali.
  Labda Mungu ana mpango wa kuniinua kwenye jambo jengine mbali na uimbaji,mapenzi yake na yatimie.
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  I am happy at least umecheka mpenzi. Basi kama huwezi rap try playing the guitar, or the piano. Unaweza pia kuwafundisha watoto wadogo kuimba. you still have your musical ear. Kama kiongozi unaweza pia kuendesha tu mziki kwa ku 'beat time' (sijui nisemeje hapa, I hope umenielewa). Njia za kumtukuza Muumba katika kwaya ni nyingi mno nje ya kuimba kwenyewe.
  Ukikaa na kufikiria sana ndio unaupa huo ugonjwa nguvu zaidi, you feed it with your worries, your anger, your frustration and your sadness. just dust it off na endelea kwa kupitia njia nyingine.
   
 13. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe,
  sasa nikujifunza tu kukubali kuwa ile sauti imeshakufa maana sugery sitaki nisijepatwa ya kupatwa makubwa zaidi bure.
  Im taking piano lessons aldready...pia i can play drum japo sio kwa sana...labda huku ndiko nielekeze mapenzi yangu japo uimbaji ndio kipenzi changu wa kweli.
  .[​IMG]If you want to be happy, BE!
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  How is GERD treated?
  Life-style changes

  One of the simplest treatments for GERD is referred to as life-style changes, a combination of several changes in habit, particularly related to eating.


  As discussed above, reflux of acid is more injurious at night than during the day. At night, when individuals are lying down, it is easier for reflux to occur. The reason that it is easier is because gravity is not opposing the reflux, as it does in the upright position during the day. In addition, the lack of an effect of gravity allows the refluxed liquid to travel further up the esophagus and remain in the esophagus longer. These problems can be overcome partially by elevating the upper body in bed. The elevation is accomplished either by putting blocks under the bed's feet at the head of the bed or, more conveniently, by sleeping with the upper body on a foam rubber wedge. These maneuvers raise the esophagus above the stomach and partially restore the effects of gravity. It is important that the upper body and not just the head be elevated. Elevating only the head does not raise the esophagus and fails to restore the effects of gravity.


  Elevation of the upper body at night generally is recommended for all patients with GERD. Nevertheless, most patients with GERD have reflux only during the day and elevation at night is of little benefit for them. It is not possible to know for certain which patients will benefit from elevation at night unless acid testing clearly demonstrates night reflux. However, patients who have heartburn, regurgitation, or other symptoms of GERD at night are probably experiencing reflux at night and definitely should elevate their upper body when sleeping. Reflux also occurs less frequently when patients lie on their left rather than their right sides.
  GERD Diet
  Several changes in eating habits can be beneficial in treating GERD. Reflux is worse following meals. This probably is so because the stomach is distended with food at that time and transient relaxations of the lower esophageal sphincter are more frequent. Therefore, smaller and earlier evening meals may reduce the amount of reflux for two reasons. First, the smaller meal results in lesser distention of the stomach. Second, by bedtime, a smaller and earlier meal is more likely to have emptied from the stomach than is a larger one. As a result, reflux is less likely to occur when patients with GERD lie down to sleep.


  Certain foods are known to reduce the pressure in the lower esophageal sphincter and thereby promote reflux. These foods should be avoided and include:


  chocolate,
  peppermint,
  alcohol, and
  caffeinated drinks.
  Fatty foods (which should be decreased) and smoking (which should be stopped) also reduce the pressure in the sphincter and promote reflux.


  In addition, patients with GERD may find that other foods aggravate their symptoms. Examples are spicy or acid-containing foods, like citrus juices, carbonated beverages, and tomato juice. These foods should also be avoided.


  One novel approach to the treatment of GERD is chewing gum. Chewing gum stimulates the production of more bicarbonate-containing saliva and increases the rate of swallowing. After the saliva is swallowed, it neutralizes acid in the esophagus. In effect, chewing gum exaggerates one of the normal processes that neutralize acid in the esophagus. It is not clear, however, how effective chewing gum actually is in treating heartburn. Nevertheless, chewing gum after meals is certainly worth a try.
  Antacids
  Despite the development of potent medications for the treatment of GERD, antacids remain a mainstay of treatment. Antacids neutralize the acid in the stomach so that there is no acid to reflux. The problem with antacids is that their action is brief. They are emptied from the empty stomach quickly, in less than an hour, and the acid then re-accumulates. The best way to take antacids, therefore, is approximately one hour after meals, which is just before the symptoms of reflux begin after a meal. Since the food from meals slows the emptying from the stomach, an antacid taken after a meal stays in the stomach longer and is effective longer. For the same reason, a second dose of antacids approximately two hours after a meal takes advantage of the continuing post-meal slower emptying of the stomach and replenishes the acid-neutralizing capacity within the stomach.


  Antacids may be aluminum, magnesium, or calcium based. Calcium-based antacids (usually calcium carbonate), unlike other antacids, stimulate the release of gastrin from the stomach and duodenum. Gastrin is the hormone that is primarily responsible for the stimulation of acid secretion by the stomach. Therefore, the secretion of acid rebounds after the direct acid-neutralizing effect of the calcium carbonate is exhausted. The rebound is due to the release of gastrin, which results in an overproduction of acid. Theoretically at least, this increased acid is not good for GERD.


  Acid rebound, however, has not been shown to be clinically important. That is, treatment with calcium carbonate has not been shown to be less effective or safe than treatment with antacids not containing calcium carbonate. Nevertheless, the phenomenon of acid rebound is theoretically harmful. In practice, therefore, calcium-containing antacids such as Tums and Rolaids are not recommended. The occasional use of these calcium carbonate-containing antacids, however, is not believed to be harmful. The advantages of calcium carbonate-containing antacids are their low cost , the calcium they add to the diet, and their convenience as compared to liquids.


  Aluminum-containing antacids have a tendency to cause constipation, while magnesium-containing antacids tend to cause diarrhea. If diarrhea or constipation becomes a problem, it may be necessary to switch antacids or alternately use antacids containing aluminum and magnesium.
  Histamine antagonists
  Although antacids can neutralize acid, they do so for only a short period of time. For substantial neutralization of acid throughout the day, antacids would need to be given frequently, at least every hour.


  The first medication developed for more effective and convenient treatment of acid-related diseases, including GERD, was a histamine antagonist, specifically cimetidine (Tagamet). Histamine is an important chemical because it stimulates acid production by the stomach. Released within the wall of the stomach, histamine attaches to receptors (binders) on the stomach's acid-producing cells and stimulates the cells to produce acid. Histamine antagonists work by blocking the receptor for histamine and thereby preventing histamine from stimulating the acid-producing cells. (Histamine antagonists are referred to as H2 antagonists because the specific receptor they block is the histamine type 2 receptor.)


  Because histamine is particularly important for the stimulation of acid after meals, H2 antagonists are best taken 30 minutes before meals. The reason for this timing is so that the H2 antagonists will be at peak levels in the body after the meal when the stomach is actively producing acid. H2 antagonists also can be taken at bedtime to suppress nighttime production of acid.


  H2 antagonists are very good for relieving the symptoms of GERD, particularly heartburn. However, they are not very good for healing the inflammation (esophagitis) that may accompany GERD. In fact, they are used primarily for the treatment of heartburn in GERD that is not associated with inflammation or complications, such as erosions or ulcers, strictures, or Barrett's esophagus.


  Four different H2 antagonists are available by prescription, including cimetidine (Tagamet), ranitidine (Zantac), nizatidine (Axid), and famotidine, (Pepcid). All four are also available over-the-counter (OTC), without the need for a prescription. However, the OTC dosages are lower than those available by prescription.
  Proton pump inhibitors

  The second type of drug developed specifically for acid-related diseases, such as GERD, was a proton pump inhibitor (PPI), specifically, omeprazole (Prilosec). A PPI blocks the secretion of acid into the stomach by the acid-secreting cells. The advantage of a PPI over an H2 antagonist is that the PPI shuts off acid production more completely and for a longer period of time. Not only is the PPI good for treating the symptom of heartburn, but it also is good for protecting the esophagus from acid so that esophageal inflammation can heal.


  PPIs are used when H2 antagonists do not relieve symptoms adequately or when complications of GERD such as erosions or ulcers, strictures, or Barrett's esophagus exist. Five different PPIs are approved for the treatment of GERD, including omeprazole (Prilosec, Dexilant), lansoprazole (Prevacid), rabeprazole (Aciphex), pantoprazole (Protonix), and esomeprazole (Nexium). A sixth PPI product consists of a combination of omeprazole and sodium bicarbonate (Zegerid). PPIs (except for Zegarid) are best taken an hour before meals. The reason for this timing is that the PPIs work best when the stomach is most actively producing acid, which occurs after meals. If the PPI is taken before the meal, it is at peak levels in the body after the meal when the acid is being made.
  Pro-motility drugs
  Pro-motility drugs work by stimulating the muscles of the gastrointestinal tract, including the esophagus, stomach, small intestine, and/or colon. One pro-motility drug, metoclopramide (Reglan), is approved for GERD. Pro-motility drugs increase the pressure in the lower esophageal sphincter and strengthen the contractions (peristalsis) of the esophagus. Both effects would be expected to reduce reflux of acid. However, these effects on the sphincter and esophagus are small. Therefore, it is believed that the primary effect of metoclopramide may be to speed up emptying of the stomach, which also would be expected to reduce reflux.


  Pro-motility drugs are most effective when taken 30 minutes before meals and again at bedtime. They are not very effective for treating either the symptoms or complications of GERD. Therefore, the pro-motility agents are reserved either for patients who do not respond to other treatments or are added to enhance other treatments for GERD.
  Foam barriers
  Foam barriers provide a unique form of treatment for GERD. Foam barriers are tablets that are composed of an antacid and a foaming agent. As the tablet disintegrates and reaches the stomach, it turns into foam that floats on the top of the liquid contents of the stomach. The foam forms a physical barrier to the reflux of liquid. At the same time, the antacid bound to the foam neutralizes acid that comes in contact with the foam. The tablets are best taken after meals (when the stomach is distended) and when lying down, both times when reflux is more likely to occur. Foam barriers are not often used as the first or only treatment for GERD. Rather, they are added to other drugs for GERD when the other drugs are not adequately effective in relieving symptoms. There is only one foam barrier, which is a combination of aluminum hydroxide gel, magnesium trisilicate, and alginate (Gaviscon).
  Surgery
  The drugs described above usually are effective in treating the symptoms and complications of GERD. Nevertheless, sometimes they are not. For example, despite adequate suppression of acid and relief from heartburn, regurgitation, with its potential for complications in the lungs, may still occur. Moreover, the amounts and/or numbers of drugs that are required for satisfactory treatment are sometimes so great that drug treatment is unreasonable. In such situations, surgery can effectively stop reflux.


  The surgical procedure that is done to prevent reflux is technically known as fundoplication and is called reflux surgery or anti-reflux surgery. During fundoplication, any hiatal hernial sac is pulled below the diaphragm and stitched there. In addition, the opening in the diaphragm through which the esophagus passes is tightened around the esophagus. Finally, the upper part of the stomach next to the opening of the esophagus into the stomach is wrapped around the lower esophagus to make an artificial lower esophageal sphincter. All of this surgery can be done through an incision in the abdomen (laparotomy) or using a technique called laparoscopy. During laparoscopy, a small viewing device and surgical instruments are passed through several small puncture sites in the abdomen. This procedure avoids the need for a major abdominal incision.


  Surgery is very effective at relieving symptoms and treating the complications of GERD. Approximately 80% of patients will have good or excellent relief of their symptoms for at least 5 to 10 years. Nevertheless, many patients who have had surgery—perhaps as many as half—will continue to take drugs for reflux. It is not clear whether they take the drugs because they continue to have reflux and symptoms of reflux or if they take them for symptoms that are being caused by problems other than GERD. The most common complication of fundoplication is swallowed food that sticks at the artificial sphincter. Fortunately, the sticking usually is temporary. If it is not transient, endoscopic treatment to stretch (dilate) the artificial sphincter usually will relieve the problem. Only occasionally is it necessary to re-operate to revise the prior surgery.
  Endoscopy
  Very recently, endoscopic techniques for the treatment of GERD have been developed and tested. One type of endoscopic treatment involves suturing (stitching) the area of the lower esophageal sphincter, which essentially tightens the sphincter.


  A second type involves the application of radio-frequency waves to the lower part of the esophagus just above the sphincter. The waves cause damage to the tissue beneath the esophageal lining and a scar (fibrosis) forms. The scar shrinks and pulls on the surrounding tissue, thereby tightening the sphincter and the area above it.


  A third type of endoscopic treatment involves the injection of materials into the esophageal wall in the area of the LES. The injected material is intended to increase pressure in the LES and thereby prevent reflux. In one treatment the injected material was a polymer. Unfortunately, the injection of polymer led to serious complications, and the material for injection is no longer available. Another treatment involving injection of expandable pellets also was discontinued. Limited information is available about a third type of injection which uses gelatinous polymethylmethacrylate microspheres.


  Endoscopic treatment has the advantage of not requiring surgery. It can be performed without hospitalization. Experience with endoscopic techniques is limited. It is not clear how effective they are, especially long-term. Because the effectiveness and the full extent of potential complications of endoscopic techniques are not clear, it is felt generally that endoscopic treatment should only be done as part of experimental trials.
  Prevention of transient LES relaxation

  Transient LES relaxations appear to be the most common way in which acid reflux occurs. Although there are available drugs that prevent relaxations, they have too many side effects to be generally useful. Much attention is being directed at the development of drugs that prevent these relaxations without accompanying side effects.
   
 15. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  MziziMkavu naona na wewe umechemsha hapa.
  Nilidhani utaniambia zile tiba zetu za asili za asali and alike ila hayo yoote uliyoniandikia nayajua tayari.
  Kama mkuu mzizi mkavu hujui tiba ya asili ya acid reflux basi tumaini langu kwenye tiba za asili limefifia.
  Nakubali matokeo,my voice is gone for good.
  Asante mzizi na wengine kwa ushauri na maelekezo.
  Mungu awabariki.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. c

  crusingtz Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What are the common symptoms associated with GERD?
   
 17. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zingatia alivyosema Roullete, na ukiona bado dalili au maumivu hayapungui tumia Cimetidine vidonge, kimoja unapokunywa chai asubuhi na jioni kimoja unapolala. Utapata nafuu sana.
  Good luck
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Acid reflux


  Acid reflux (pia inajulikana kama Gerd), hali wakati asidi tumboni migongo juu katika umio, ni pretty kawaida. umio kupata alikasirishwa na asidi, na idadi ya dalili chungu na kudumu kama vile Heartburn watatoka.


  Sphincter, pete ya misuli ya juu ya tumbo, kwa kawaida baada ya kufunga kuruhusu chakula kwa njia ya ndani ya tumbo na kuzuia chakula kuja nyuma juu. Wakati si kufunga vizuri, sphincter inaruhusu utumbo juisi ya asidi ya tumbo kwa nyuma juu. Na tangu umio ni hawalindwi na bitana maalum dhidi ya asidi kama tumbo ni, asidi hii inasababisha kabisa moto sana huko. Kuna idadi ya bidhaa za matibabu ya asili asidi reflux ambayo inaweza eaily ya utunzaji wa tatizo hili.


  Dalili za reflux Acid


  Acid reflux ni ugonjwa wa watu wengi ni karibu familiar with. Zaidi ya watu milioni 60 katika Marekani peke yake zimeripotiwa uzoefu angalau mara moja kwa mwezi. Reflux asidi pia anajulikana kama Gerd - gastroesophageal reflux ugonjwa na inaweza kuwa walionyesha katika dalili zifuatazo mbalimbali ya reflux asidi:


  Heartburn (pia inajulikana kama indigestion acid) ni walionyesha kwa usumbufu na maumivu ya moto, kuhama kutoka tumbo hadi katikati ya tumbo na kifua, wakati mwingine hata kufikia koo. Tofauti na jina lake, Heartburn ina uhusiano wowote na moyo.


  dalili nyingine ya kawaida ya reflux asidi, cheu, ni walionyesha kwa hisia ya asidi inaunga mkono juu katika koo na wakati mwingine hata kinywa, kuzalisha burp ya ladha sour-uchungu na matapishi ya chembe chakula kutoka tumbo.


  Na mengi ya watu reflux asidi unaambatana na syndrome aitwaye dyspepsia, ambayo ni neno la jumla kwa ajili ya dalili kama vile kichefuchefu baada ya kula, moto, juu ya tumbo usumbufu na maumivu, utimilifu tumbo na bloating.


  Taasisi ya Taifa ya Afya mentiones nyingine, chini ya kawaida dalili ya reflux asidi:


  - Kikohozi au Mapigo moyo
  - Matatizo ya kumeza
  - Hiccups
  - Uchakacho au mabadiliko katika sauti
  - Cheu ya chakula
  - Kuumwa koo
  Acid reflux, yadhaniwa kuwa ya kawaida na mara chache sana na kusababisha matatizo makubwa, lakini yasiachiwe unattended kwa. Dalili za reflux asidi urahisi kudhibitiwa na hatua kama rahisi kama matumizi ya mara kwa mara ya bidhaa za matibabu ya asili asidi reflux na na baadhi ya mabadiliko katika maisha.


  Sababu za reflux Acid  Hiatal ngiri, abnormality tumbo, ni moja ya sababu ya kawaida ya ugonjwa asidi reflux, alionyesha katika kusonga ya sehemu les na tumbo misuli ya juu juu kwamba hutenganisha kifua na tumbo (diaphragm). Na diaphragm hiatal ngiri inashindwa kuendelea na utendaji wake wa kutunza asidi tumboni, na asidi hatua juu katika umio, na kusababisha moja au nyingine dalili ya ugonjwa reflux asidi.


  Kulingana na Marekani Gastroenterological Association:  ngiri hiatal ni kusukuma juu ya tumbo katika cavity kifua kwa njia ya shimo katika diaphragm.


  Wakati Heartburn si unasababishwa na ngiri hiatal, hernias predispose watu binafsi Heartburn. Heartburn sugu unaweza kusababisha shortening ya umio kusababisha ngiri hiatal. Hernias Hiatal yanaweza kutokea katika watu wa umri wowote na mara nyingi hupatikana katika umri vinginevyo afya watu 50 au zaidi.
  sababu nyingine ya asidi ya ugonjwa reflux ni:
  Amelala chini ya nyuma haki baada ya kuwa na chakula, hasa moja nzito
  Overeating au kuteketeza milo kubwa mno
  Fetma au uzito kupita kiasi
  Usiku kula
  Mafuta au spicy vyakula pamoja na baadhi ya vyakula kama nyanya, machungwa, chocolate, mint vitunguu, au vitunguu
  Vinywaji kama chai, kahawa, vinywaji na kaboni na pombe
  Sigara
  Mimba
  Baadhi ya dawa kama ibuprofen, aspirin, shinikizo la damu dawa na baadhi relaxers misuli.
  Kutambua Acid reflux


  Kama wako dalili ya reflux asidi kutokea mara kadhaa kwa wiki na dawa hakuna kuleta athari ya kudumu, ni wakati wa kurejea kwa msaada wa kitaalamu. mtaalam anaweza kutambua reflux asidi misingi ya dalili zake, kama vile Heartburn, hasa kama antacids, asidi ya kuzuia dawa au mabadiliko ya maisha ya kupunguza dalili hizi kwa kiasi kikubwa.


  Katika kesi ya hatua hizi kusababisha hakuna maboresho na dalili yako ya reflux asidi yanaendelea na frequency na ukali huo huo, daktari wako wengi pengine ili vipimo vya kupima uzito wa hali yako au kuangalia kwa matatizo mengine. Anaweza pia kupendekeza asili asidi reflux matibabu.


  Kuzuia Acid reflux


  Na kubwa watu wengi, dalili za kupungua asidi reflux na baadhi ya asili asidi bidhaa matibabu reflux na mabadiliko kuletwa katika mlo wao. Inawezekana kuzuia asidi reflux kama kula vyakula kwamba sababu hakuna Heartburn wakati kukimbia wale ambao ni maalumu kwa trigger yake.


  Unafuu gani ingekuwa kama kulikuwa na kitu kama chakula kupambana na reflux, lakini kwa bahati mbaya hakuna kitu kama hicho, kwa vile watu mbalimbali inaweza kuguswa kwa namna tofauti na chakula hicho. Maziwa ya kunywa kabla ya kwenda kulala ni kawaida mawazo ya kuzuia asidi reflux, ambapo maziwa umeonyesha duta action kwamba inahamasisha secretion asidi badala ya curbs yake.


  Hutumia zaidi maji kila siku ili kuzuia asidi reflux. Hii kuboresha afya yako kwa ujumla, mbali na kusaidia kuondokana na asidi ya tumbo, na kupunguza dalili yako ya reflux asidi. Ni pia ilipendekeza kwa kunywa majani au mbili za maji baada ya mlo.


  Acid usumbufu reflux inaweza kuwa na mafanikio kuondoka kwa vile asili matibabu asidi reflux kama chamomile au chai shamari, wote wawili ambao ni maarufu kwa ajili ya madhara ya soothing juu ya dalili za reflux asidi.


  Acid reflux Tiba


  Ukweli ni kwamba, hakuna matibabu reflux asidi kusababisha kupona kabisa, lakini nzuri asidi reflux matibabu inaweza kuleta unafuu kwa dalili yako ya reflux asidi na kukusaidia kusimamia vizuri.

  Asili asidi reflux matibabu ya dawa. Hawa sana kuliko kawaida asidi reflux matibabu bidhaa za kutosha katika aina kuu na inaweza kuwa rahisi kununuliwa. Kila mtu anaweza kuchagua asili asidi reflux matibabu kwa upendeleo wao kwamba itaweza dalili bora yao ya reflux asidi.

  Dawa asidi reflux matibabu ya dawa. Inapendekezwa kwamba reflux asidi ni kutibiwa na daktari ili kuepuka hali ya afya ngumu zaidi inaweza kusababisha kama sio kutibiwa katika njia sahihi. Dawa ya matibabu ya madawa ya asidi reflux

  kutenda kwa njia ya kupunguza kasi asidihidrokloriki katika tumbo, ambayo inafanya digestion ngumu zaidi. Mbali na hilo, hii kupunguza asidi ya tumbo huathiri mfumo wa ulinzi wa tumbo, na kufanya hivyo zaidi ya wazi kwa sumu ya chakula na maambukizi ya chakula machafu.

  Upasuaji ni mapumziko ya mwisho kwa ajili ya kutibu asidi reflux kama wala maisha na malazi mabadiliko wala dawa kuleta nafuu. Hata hivyo, hakuna ushahidi vizuri kumbukumbu ya muda mrefu athari za matibabu asidi reflux upasuaji, na badala yake bado tata.

  Kama usahau, asidi reflux inaweza maendeleo katika hali mbaya zaidi, kuanzia na matatizo ya meno pumu na hadi nyembamba na kansa ya umio esophageal.


  Taasisi ya Saratani ya Marekani Utafiti inaonya:


  Muda mrefu, mara kwa mara asidi reflux inaweza kuharibu umio, na kusababisha kovu tishu fomu. Pia inaweza kusababisha mabadiliko katika seli wenyewe kwamba hatari ya ongezeko la maendeleo ya kansa ya esophageal.
  Tiba ya asili Acid reflux


  Kemikali dawa si ​​chaguo bora kwa ajili ya matibabu reflux za asidi asidi reflux matibabu - pamoja na kunywa kuhusu lita ya maji kuchujwa siku, chakula detoxification, quality. probiotics wa viwango vya juu - inatoa matokeo bora zaidi na ya kuaminika katika matukio mengi, kurejesha tumbo kazi yake ya kawaida yake kama iwezekanavyo.


  Kuendelea matumizi ya tiba za asili asidi reflux itakuwa msaada mkubwa katika kurejesha uwiano wa asidihidrokloriki na Enzymes utumbo. Matokeo yake, dalili yako ya reflux asidi (kama vile Heartburn, inasikitishwa usingizi, kichefuchefu, nk) unaweza kupunguzwa au hata kuondolewa kabisa.


  Kasoro ya Sayansi Acid reflux matibabu rebalance digestive Enzymes wako kuleta chini asidi yako hidrokloriki uzalishaji na kufurahia afya bora kwa ujumla utumbo! Kasoro ya Sayansi za Tiba Acid reflux pia kuja na Support Daily digestion - fiber mara moja-kwa-siku na virutubishi kuwa misaada zaidi katika kupunguza uvimbe na kukita ngome mwili wako na madini na virutubisho muhimu kwa afya nzuri ya utumbo na mlolongo wa herbals pectin, nyuzi, Enzymes na misaada ya asili ya utumbo.


  Dhamana Kama wakati wowote wewe si kuridhika na matokeo wewe ni kupata, unaweza tu kurudi na chupa tupu masanduku yao ndani ya siku 90 ya kununua kwa refund kamili ya fedha kulipwa minus yako tu meli & utunzaji mashtaka.


  Kasoro ya Sayansi Colon Osheni ni mfumo 3-hatua ambayo ina:  Mfumo wa Kudhibiti asidi: Slippery Elm (mg 250); Aloe Vera (mg 250); licorice Root (deglycyrrhizinated) (mg 200); Marshmallow mzizi (50 mg).


  Digestive Enzyme Renewal: Oxbile, Amylase, Protease, lipesi, Cellulase, Invertase, Lactase, Maltase, Papain, Glucoamylase, Alpha Galactosidase, Hemicellulase, Beta Glucanase, selulosi, silicon dioxide, mboga stearate.


  Daily digestion Support: milled Chia Mbegu, Psyllium husk, Fennel Mbegu, Matunda Papaya, Grapefruit pectin, alfa alfa Leaf, peremende Leaf, UVA-Ursi Leaf, Stevia Leaf Extract, Maltodextrin, Stevia, za Wildberry Flavor na silika................ queenkami
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,597
  Likes Received: 82,153
  Trophy Points: 280
  Pole sana...lakini hii operesheni ya "Nissen surgery" iwe ni kimbilio la mwisho baada ya tiba nyingine kushindikana kabisa.
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Kutibu asidi mwilini,

  Motone kadhaa ya mafuta ya Habbat-Sawdaa yaliotiwa kwenye maziwa ya moto na Asali Safi mbichi ya nyuki: humaliza asidi.


  [​IMG]

  Nigella Sativa oil seed or Black oil seed. Mafuta ya habbat- Sawda. ................... queenkami
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...