Vipi ukichanganya na limao?Kula tangawizi bila sukari
Mkuu Anza Kwanza kwa kuua bacteria wanaosababisha Hali hiyo. Mi nilikuwa namateso makubwa kuliko wewe hadi nilivyopewa hii dose hapa ndio Hali ikatuliaHabari wakuu
Nimetafuta japo uzi wenye kuelezea dawa kwa aliyekwishanza kuathirika na gastric. Naombeni msaada naishu kwa kutafuna tangawizi usiku kucha
Mkuu hii tulifundishwa na mwalimu wa physical education toka kenya👊Una Kitambi Cha Juu?
Jaribu kusoma kuhusu Diaphragmatic/ Hiatal Hernia
Linaweza kuwa ndo tatizo lako.
Ntarud kuzungumza na wewe.Mkuu Anza Kwanza kwa kuua bacteria wanaosababisha Hali hiyo. Mi nilikuwa namateso makubwa kuliko wewe hadi nilivyopewa hii dose hapa ndio Hali ikatulia
Heligokit tumia hii mkuu, kama h pylori ni positiveMkuu Anza Kwanza kwa kuua bacteria wanaosababisha Hali hiyo. Mi nilikuwa namateso makubwa kuliko wewe hadi nilivyopewa hii dose hapa ndio Hali ikatulia