Gas ni bora kuliko mafuta kwa sababu gas ina spark kubwa kuliko mafuta. Ila unafuu wa mafuta ni kwenye muda wa matumizi vs gas. Na gharama za manunuzi kuna unafuu kuliko gas kama nilivyoainisha kwenye post yangu
Zamani nilikuwa nanunua mafuta lita 2 shilingi 5k
Natumia week hadi week mbili(sipiki mara kwa mara)
Gas mtungi mdogo shilingi 20k natumia miezi miwili hadi 3(pia sipiki mara kwa mara)
Kihesabu gas ni nafuu mno + ufanisi kwangu niligundua.

Gas ni nafuuu sana, kama unatumia wewe, lakini kama ni family yenye uelewa mdogo gas ni gharama kwa sababu anaweza acha kufunga vizuri ikaisha. Mafuta nilikuwa natumia mafuta ya 18,000/- kwa miezi 2 lakini gas ya 20,000/- natumia kwa miezi 3