maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,852
Mkaa na kuni naona uko vizuri 😂😂😂😂 NyeteTuache ushabiki tuongelee uhalisia Kati ya gesi na jiko la mchina la mafuta kipi ni bora kwa mtanzania
Tofauti zilizopo kati gesi na jiko la mafuta ni zipi hapo tuelezee kuanzia
_gharama
_uharaka katika kupika
_mwonekano
Uchafuzi wa vyombo hiyo inatokana na mtu mwenyewe alivyo kwa hiyo tusilipe hilo kipaumbele
Mi nimetumia vyote kwa wakati tofauti tofauti nimeona jiko la mafuta lina nafuu kwene gharama,kwene kuharakisha chakula vyote kama sawa tu
Karibuni tupeane mawazo mapya
BTW na mm napenda kujua huyu nyete kafanyaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabla sijarudi kwene Mada naomba kujua nini maana ya ilo neno nyete na imekuaje linatrend sana
Nyete ni ID ya MTU humu sema kafanya jambo lisilo lakiungwana ametutaperi [emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] kabla sijarudi kwene Mada naomba kujua nini maana ya ilo neno nyete na imekuaje linatrend sana
[emoji23][emoji23]mkuu nyete ni kama ONTARIO tu Na forex alivyotupiga ila nyete kazidi ujasiriMkimaliza hili na mimi nitakuja na kati ya mafiga na pumba, maana kila yule anazungumzia anachokitumia
BTW na mm napenda kujua huyu nyete kafanyaje?
Mkuu nyete alikuja Na taarifa nyeti Na yakiutu sana Kwa binadamu mwenye kujua shida hakika asingeweza kuchomoa alisema mtoto wake kaungua moto akaleta Na vivid example kabisa ilihali mtoto si wake ni wamama mwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] katapeli nn mkuu
tapeli msomi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nyete alikuja Na taarifa nyeti Na yakiutu sana Kwa binadamu mwenye kujua shida hakika asingeweza kuchomoa alisema mtoto wake kaungua moto akaleta Na vivid example kabisa ilihali mtoto si wake ni wamama mwingine
Kumbe muhusika wamtoto haijui hata jamii forum hakika Nyete nikatiritapeli msomi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gas iko vizuri unapika haraka na haichafui vyombo mchina weee
Mkuu ukishamaliza kupikia jiko la mafuta kabla hujalizima unalitoa nnje mambo yanakuwa shwari kabisa, watu wanasema gas ipo fasta ni kweli lkn jiko la mafuta la mchina lipo fasta sana na mimi nimetumia sana ilo jiko linasevu sana garamaTatizo jiko la mafuta ukizima linatoa harufu mbaya sana na hatari kiafya
mbona yuko humu anachangia na ID mpyaatakuja na id mpya
Huyo jamaa ni baraa saizi anajiita jina ganimbona yuko humu anachangia na ID mpya