gari zinauzwa bei nafuu wahi sasa!!!!!!!!

dgratius

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
218
11
vits 8 mill
Prado tx 22mill
Swift,duet.....etc
Gari zote ni mpya kabisaa wahi sasa vilevile tunachukua order zenu kwa magari mengine kama unaitaji ni pm vilevile bei ni maelewano!!!!!
 
vits 8 mill
Prado tx 22mill
Swift,duet.....etc
Gari zote ni mpya kabisaa wahi sasa vilevile tunachukua order zenu kwa magari mengine kama unaitaji ni pm vilevile bei ni maelewano!!!!!

tangazo lako halijakidhi viwango hebu lirekebishe fasta kabla halijaondolewa
 
tangazo lako halijakidhi viwango hebu lirekebishe fasta kabla halijaondolewa

Ye mwenyewe hapo keshamaliza. Saa hizi yuko bize kungojea pm.
Ndivyo tulivyo, halafu tunaanza kutafuta wachawi, kwanini biashara zetu hazisongi mbele. Jamani, tutajifunza lini?
 
vits 8 mill
Prado tx 22mill
Swift,duet.....etc
Gari zote ni mpya kabisaa wahi sasa vilevile tunachukua order zenu kwa magari mengine kama unaitaji ni pm vilevile bei ni maelewano!!!!!

hiyo vitz haipungui.....? ya mwaka gani....? hebu weka picha yake.......
 
Ye mwenyewe hapo keshamaliza. Saa hizi yuko bize kungojea pm.
Ndivyo tulivyo, halafu tunaanza kutafuta wachawi, kwanini biashara zetu hazisongi mbele. Jamani, tutajifunza lini?

nadhani ifike mahali JF iwe na standards za matangazo sio mtu anakurupuka anabandika tangazomatokeo yake inakuwa kupotezeana muda
 
If you are serious sajili biashara yako anzisha hata Blog ili uweke Url yako tuweze kutembelea na kuona hayo magari.
 
Vogue,Bentley na Hummer H2 unaweza kuuza kwa ngapi?

kingkongIII huyo jamaa kutokana na utoaji wake wa tangazo inaonyesha si mtaalamu wa maswala ya magari kiivyo,kwa hayo magari uliomtajia nina uhakika kuwa hana ila atajifanya anazijua hizo bei baada kuingia kwenye net na atakupa hizo bei soon,ngoja tusubiri kidogo uone.
 
Back
Top Bottom