Gari za Trasnsit

Gari za Trasnsit

Unalipaje mkuu na inabeba mzigo gani?
Ungeweka maelezo zaidi kidogo ili kupunguza simu nyingi.

Gari zimekuwa changamoto sana kwasasa.
 
Sema ni agent una mizigo ya kutoka daslm kuja Lusaka na unalipaje ndio tuongee sio tuje kuongea tu na aina ya mizigo pia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom